Daktari bingwa 3D anahitajika

Ooh
 
Mimi nimeokoka mkuu sijawahi na sitowahi kukanyaga huko comeback yake si mchezo! Halafu sijui kwanini namshauri mleta mada wakati yuko tayari kutoa kafara yoyote[emoji848]
Si bado unaishi ipo siku inaweza kutokea ukakanyaga tuh
 
Kwamba kila mtu atayakanyaga? Poor mindset hii, kila mmoja ana njia zake usinitishe mkuu!
Ulimwengu wa 'nyuma ya pazia' hauna huruma na wenye dharau Haya maneno yatakutesa siku ukikutana na ukweli.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…