Me sitaki hao wa tuma humuWaganga wapo wengi humu tulia waje mmoja huyu hapa Papaaa mukuubwaaa
Umeandika huu uzi hata mwandiko wako unaonesha kweli upo seriously sana.KICHWA CHA HABARI: Natafuta "Mganga Konki" (Morogoro/Jirani): Nataka Upeo wa Macho 3D na Kinga ya Chuma | Malipo Baada ya Kazi
Habari Wadau wa Jukwaa hili adhimu.
Nimekuja kwenu nikiwa na nia thabiti.
Nahitaji kuunganishwa na Mtaalamu/Mganga ambaye ni Nguli (Habari ya Mjini), fundi aliyekubalika na anayejua siri za ulimwengu wa roho. Sitaki wataalamu wa "kubahatisha" wala wapiga ramli wa vijiweni.
Mambo Muhimu Ninayohitaji:
Upeo wa Macho (Optical Clarity): Nahitaji dawa ya kufungua macho ya ndani. Nataka kuona kila kitu kinachoendelea gizani; iwe ni wachawi, majini, au viumbe wowote wasioonekana kwa macho haya ya nyama. Nataka kuwajua wabaya wangu kwa sura na vitendo bila chenga!
Utambuzi wa Mitego & Ndumba: Nataka uwezo wa kugundua mitego ya kishirikina iliyozikwa (idara ya uchunguzi). Iwe ni shambani, nyumbani, au kazini, nikifika tu nistukiwe na nione kilichofichwa chini ya ardhi.
Kinga ya Chuma (Anti-Bullet/Anti-Evil): Nahitaji mwili uwe "Chuma cha Reli.
Kinga ya kuzuia na kurudisha mapigo kwa adui papo hapo (Instant Reflection). Yeyote anayepanga ubaya, unamrudia yeye kabla hajanifikia.
Masharti na Mazingatio:
Eneo: Mtaalamu awe mkoani Morogoro au mikoa ya jirani (Pwani, Dodoma, Tanga). Niko tayari kupanda milima na kuvuka mito kufika kilingeni kwake.
Malipo: Hapa ndipo penye msisitizo. Niko tayari kwa Gharama Yoyote ile, lakini sharti langu ni moja tu: MALIPO YA UFUNDI NI BAADA YA KAZI NA MATOKEO (Results First). Gharama za vifaa na kafara niko tayari kutoa mbele ya macho yangu, lakini fadhila ya mtaalamu inakuja nikishajiridhisha kuwa "macho yamefunguka" na "chuma imekubali.
Zingatio: Matapeli wa PM kaeni mbali. Natafuta fundi anayejiamini na kazi yake, siyo wa kutumia nguvu nyingi kuelezea "CV" yake.
Kama unamjua mtaalamu ambaye ni "Level nyingine" na hayuko hapa mjini kwa ajili ya kutapeli watu, niunganishe naye.
Wenye nondo na maelekezo, njooni PM tufanye biashara.
Ushawahi kwenda kwake na ukayaona matokeo kama mtoa mada anavyosemaWaganga wapo wengi humu tulia waje mmoja huyu hapa Papaaa mukuubwaaa
Na ndio utakaowapata mkuu! Kama unataka wale wasioweza kuzungumza hata kiswahili hawapo humu!Me sitaki hao wa tuma humu
Mimi nimeokoka mkuu sijawahi na sitowahi kukanyaga huko comeback yake si mchezo! Halafu sijui kwanini namshauri mleta mada wakati yuko tayari kutoa kafara yoyote🤔Ushawahi kwenda kwake na ukayaona matokeo kama mtoa mada anavyosema
KICHWA CHA HABARI: Natafuta "Mganga Konki" (Morogoro/Jirani): Nataka Upeo wa Macho 3D na Kinga ya Chuma | Malipo Baada ya Kazi
Habari Wadau wa Jukwaa hili adhimu.
Nimekuja kwenu nikiwa na nia thabiti.
Nahitaji kuunganishwa na Mtaalamu/Mganga ambaye ni Nguli (Habari ya Mjini), fundi aliyekubalika na anayejua siri za ulimwengu wa roho. Sitaki wataalamu wa "kubahatisha" wala wapiga ramli wa vijiweni.
Mambo Muhimu Ninayohitaji:
Upeo wa Macho (Optical Clarity): Nahitaji dawa ya kufungua macho ya ndani. Nataka kuona kila kitu kinachoendelea gizani; iwe ni wachawi, majini, au viumbe wowote wasioonekana kwa macho haya ya nyama. Nataka kuwajua wabaya wangu kwa sura na vitendo bila chenga!
Utambuzi wa Mitego & Ndumba: Nataka uwezo wa kugundua mitego ya kishirikina iliyozikwa (idara ya uchunguzi). Iwe ni shambani, nyumbani, au kazini, nikifika tu nistukiwe na nione kilichofichwa chini ya ardhi.
Kinga ya Chuma (Anti-Bullet/Anti-Evil): Nahitaji mwili uwe "Chuma cha Reli.
Kinga ya kuzuia na kurudisha mapigo kwa adui papo hapo (Instant Reflection). Yeyote anayepanga ubaya, unamrudia yeye kabla hajanifikia.
Masharti na Mazingatio:
Eneo: Mtaalamu awe mkoani Morogoro au mikoa ya jirani (Pwani, Dodoma, Tanga). Niko tayari kupanda milima na kuvuka mito kufika kilingeni kwake.
Malipo: Hapa ndipo penye msisitizo. Niko tayari kwa Gharama Yoyote ile, lakini sharti langu ni moja tu: MALIPO YA UFUNDI NI BAADA YA KAZI NA MATOKEO (Results First). Gharama za vifaa na kafara niko tayari kutoa mbele ya macho yangu, lakini fadhila ya mtaalamu inakuja nikishajiridhisha kuwa "macho yamefunguka" na "chuma imekubali.
Zingatio: Matapeli wa PM kaeni mbali. Natafuta fundi anayejiamini na kazi yake, siyo wa kutumia nguvu nyingi kuelezea "CV" yake.
Kama unamjua mtaalamu ambaye ni "Level nyingine" na hayuko hapa mjini kwa ajili ya kutapeli watu, niunganishe naye.
Wenye nondo na maelekezo, njooni PM tufanye biashara.
Kama kawaida yako una miandiko ya kila aina mpaka ya kimasai! Chizi la machizi😂Meksoma mujukulu wagu mimi nawesa kupa dawa na sidiko kuba san ata watu bakikufilikia fibaya banakufa benewe tu mi sitk ata siligi yako moja nikupe daw tu kwaza aya migine baaadaye Npo uku kigoma kazula miba
Ndio aje tena mkuu?Mkuu, utaweza kuhimili kuona ya gizani?
Ameuza mkoba kaokoka
Mleta uzi anataka aone ya gizani, ndo namuuliza ataweza kuhimili kuona vitu vilivyofichwa na wenye navyo?Ndio aje tena mkuu?
Atakuwa anajiamini sana ukiusoma uzi uko serious sana! Yuko tayari kwa lolote!Mleta uzi anataka aone ya gizani, ndo namuuliza ataweza kuhimili kuona vitu vilivyofichwa na wenye navyo?
Anamaanisha.Atakuwa anajiamini sana ukiusoma uzi uko serious sana! Yuko tayari kwa lolote!