Daktari: Azoospermia ni tatizo gani?

linkedIn

Senior Member
Dec 20, 2014
151
55
Habarini JF

Kama heading inavyojieleza, kuna jamaa yangu aliniuliza, Azoospermia ni tatizo gani, Na Je, linatibika?

Sikuwa na uelewa sana juu ya hilo tatizo japo najua linahusiana na mambo ya uzazi.

Naomba kwa anayefahamu zaidi kuhusu maana halisi ya neno/tatizo hilo na jinsi ya kutibu/kulitatua ili niweze kumsaidia jamaa yangu!!

Nawasilisha!!!
 
Kutokuwa na sperm...... anapoejaculate

Inawezekana kutokuwepo kabisa au kuwa blocked...

Chanzo inaweza kuwa hata matatizo ya hormone. ...



Next time Google itakupa majibu wakati madr wapo round
 
Azoospermia is the medical condition of a man not having any measurable level of sperm in his semen. It is associated with very low levels of fertility or even sterility, but many forms are amenable to medical treatment. In humans, azoospermia affects about 1% of the male population[1] and may be seen in up to 20% of male infertility situations
 
Back
Top Bottom