Daktari ambaka mgonjwa

Huu ni udhaifu tu.
 
Sifa ziende kwa huyu dada jamani, I suspect ni mchezo wake wa siku nyingi na wengine huwa hawasemi!

Just imagine wasting time in segerea after hard labour in university! we need to re evaluate our actions and their consequences
 
Ni kweli tatizo haliwezi kuisha lakini litapungua. Wanawake wengi wanaogopa kwenda hosp kama wanamatatizo yanayohitaji kuvua nguo mbele ya daktari wa kiume! Ni mpaka awe amezidiwa sana ndipo anakuwa hana jinsi. Hili lipo sana. Jaribu ku-imagine hata wewe (mwanaume) unaumwa ugonjwa lada say 'mdudu' kavimba and then una option ya kumwona daktari wa kike au wa kiume (same competence!), utachagua yupi?
 
Inaonekana huo ndo mchezo wao. Wanawalevya wagonjwa na kuwabaka. Sidhani kama ndio tukio la kwanza hili.

Huyu apigwe mvua ya milele Segerea, hamna hata haja ya kupelekana mahakamani na kupotezeana muda..
 
tumpeleke tumpeleke!
 
Ni Marie Stopes Tanzania
 
p53 pamoja na mawazo yako mazuri, umeonyesha dharau kubwa kwa wataalamu wetu. Una maana gani kuwakandya ma-Clinical Officer? Hivi unafahamu 90% ya wanaotoa huduma katika vituo vya afya, zahanati na hospitali Tanzania ni Clinical Officers? Na kwa taarifa yako kuna MD wengi mabomu na wabakaji.
 
My take

Mimi kwa kweli hawa madaktari wa magonjwa ya akina mama aka gynecologists huwa siwaamini kabisa from my experience ya kuwa nao jirani wengi huwa wanakula wagonjwa wao
the same to me, si waamini hata kidogo ila huwa tunamwachia Mungu awalinde wadogo, dada, na wake zetu, otherwise hawa madaktri ni watu wachafu sana
 
huu nao ndio uhanithi mwingine, kwanini ubake?
 
Haaa haaa mkuu umewaza nini...? Haka kamchezo mkuu kapo, sio kidogo....ila dada zetu huwa wanamezea hawasemi. Kumbuka hata mimba ni hao hao madaktari wanaume ndio wanawatoa sio madaktari wanawake...!
 
Kumbuka hata mimba ni hao hao madaktari wanaume ndio wanawatoa sio madaktari wanawake...!
huu nao ni uendawazimu mwingine unaocombain brain za watu wawili matahaira ambao matokeo yake ni *^$)_&$#
 
wife keshahama hospitali 3 hapa jijini na kali zaidi ni kuwa kote madokta waliwahi kumtokea na kilichomuokoa ni kuwakubalia wakutane uswazi amabako hakutokea ofcoz; vinginevyo angekuwemo kwenye list!

Tatizo lipo na kwa kiwangoa cha kutia shaka! na haswa kwenye hili eneo la vipimo!
 
wife keshahama hospitali 3 hapa jijini na kali zaidi ni kuwa kote madokta waliwahi kumtokea na kilichomuokoa ni kuwakubalia wakutane uswazi amabako hakutokea ofcoz; vinginevyo angekuwemo kwenye list!
be very careful bra, au anzisha hospitali
 
Mkuu umeamua kuuza story! sidhani kama kuna ukweli hapo! Hili tatizo sikubwa kama unavyojaribu kututhibishia hapa. Kwanini usishirikiane na mkeo kuwakamata hao MaDr wanaoharibu hii fani?

This is too illogical to make sense!
 
Mh!? Mkuu una uhakika alikwambia zote kweli? Alivokuwa akiwatolea nje ulikuwepo braza? oh
 
Mkuu umeamua kuuza story! sidhani kama kuna ukweli hapo! Hili tatizo sikubwa kama unavyojaribu kututhibishia hapa. Kwanini usishirikiane na mkeo kuwakamata hao MaDr wanaoharibu hii fani?

Mkuu Masa hili swala mbona lipo sana kaka, tena naweza kusema sio mgyne peke yao ingawa wao wamezidi, deep inside u know this bro ni tatizo kubwa.
 
Mkuu Masa hili swala mbona lipo sana kaka, tena naweza kusema sio mgyne peke yao ingawa wao wamezidi, deep inside u know this bro ni tatizo kubwa.

Mbona hakuna hatua zinazochukuliwa? Kuna kesi chache sana zilizoripotiwa kwenye vyombo husika...otherwise mimi nachukulia wengi wanajaribu kuharibu sifa za wale wanaofanya kazi zao kwa maadili....in this HIV era sidhani kama Madr watakuwa wazembe kiasi hiki kula wagonjwa wao.....
 
Mimi nakubaliana na wewe kabisa Mkuu kuwa anaharibu sifa ya fani lakini si watu binafsi bali ni wale madr wanaofanya vitendo hivyo mkulu na pia kitu kingine kuripotiwa kwa kesi chache sio kigezo cha kuonyesha kuwa hili tatizo si kubwa, bali inawezekana matukio mengi hayaripotiwi hence missed data ni nyingi sana mzee
 
Sorry, you have not convinced me! huwezi kujenga hoja kwa kutegemea habari za mtaani. Magnitude ya tatizo wewe unapima vipi?

Have a good day!

Masa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…