Hawa jamaa wanawaharibia sana professional zenu mzee......! ningekuwa mi ni mume wa huyo mama, ngejifanya PSYCHIATRIC then, na yeye na mpa nusu kaputi.......then natafuta njemba zimpumlie kisogoni........!
wapo ambao ni waadilifu na wanafata maadili ya kazi zao ..lakini huyu nae kavuka mipaka
sijui hata kama alikumbuka kutumia kinga ..naogopa!!
Hahahaha ungeharibu zaidi mkuu professional!
hahaaa binamu hicho kisasi balaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!
wapo ambao ni waadilifu na wanafata maadili ya kazi zao ..lakini huyu nae kavuka mipaka
sijui hata kama alikumbuka kutumia kinga ..naogopa!!
Huyo jamaa ni daktari as ni MD au clinical officer flani?Manake bongo kila anayefanya kazi hospitali ni daktari.
Kama ni MD ni shame na hakulielewa somo la ethics&professionalism.Hata mgonjwa aki flirt vipi huwezi kuchapa ofisini,tena mueleweshe kabisa kuwa uhusiano wenu ni wa kikazi na si vingine.Ikibidi hata m direct kwa daktari mwingine amu attend.Fanya physical exams,shika shika kote lakini unajitahidi kufisha hisia zako hata kama mgonjwa yuko bomba na umemtamani kingono.Ukishindwa kabisa basi chukua contacts zake halafu mtafute baada ya kazi.
Tujitahidi kusomesha mabinti masomo ya sayansi. Itasaidia sana kupunguza matatizo kama haya. Kwa sasa madaktari wengi bingwa wa magonjwa ya kina mama ni wanaume! Ningependa siku moja hili liwe kinyume
DAKTARI wa Hospitali ya Marie Stoppers iliyopo Mwenge, jijini Dar es Salaam, Paul Andrew ametiwa mbaroni kwa tuhuma za kumbaka mgonjwa aliyefika hospitalini hapo kupatiwa matibabu.
wapo wengi...Huyo jamaa ni daktari as ni MD au clinical officer flani?Manake bongo kila anayefanya kazi hospitali ni daktari.
Kama ni MD ni shame na hakulielewa somo la ethics&professionalism.Hata mgonjwa aki flirt vipi huwezi kuchapa ofisini,tena mueleweshe kabisa kuwa uhusiano wenu ni wa kikazi na si vingine.Ikibidi hata m direct kwa daktari mwingine amu attend.Fanya physical exams,shika shika kote lakini unajitahidi kufisha hisia zako hata kama mgonjwa yuko bomba na umemtamani kingono.Ukishindwa kabisa basi chukua contacts zake halafu mtafute baada ya kazi.
wapo wengi...
Hapo nilipo-bold pamenichekesha sana du!.Huyu daktari aliamua kuweka weledi na kiapo chake pembeni kabisa na nafsi yake ikaanza kuongozwa na kichwa cha chini badala ya kichwa cha juu.,pole sana dada uliyepatwa na zahma hii, naamini mpumbavu huyu atapata malipo ya udhalimu wake hapa hapa diniani.
Fani ya udaktari imeingiliwa!!
Ha haa haa p53 unamaanisha nje ya ofisi vipi? Unanikumbusha mabli sana hao ndo wako wengi sasa, wa appointment baadaye au akishapona!?