La Cosa Mia
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 271
- 127
kubali tu uwezo mdogo. Naona watu mnatafuta namna ya kusoma kozi moja na waliofaulu physics. Kubalini tu kwamba, aliyekuzidi kakuzidi
Kwa taarifa yako..am not in the medical field but am very well informed about the discipline..maskini wengi wanaosoma PCB wanaishia kupata div3..sasa, vyuo vya private tu ndo vinavoaccept such credit..nyie maskini Kama nyie wa PCB hamuwezi kuafford costs za private mnaishia kutapatapa..mwenzako kasoma CBG which is very easy kupata division 1..alafu unawaput into the same game..is the competition fair?acheni Kuwa Kama wote ni mahaters wa madaktari..
Tatizo mnakua maumbo tu ila akili bado za kisekondari......bahati nzuri wanaokujibu wengi hapa ni madaktari yani hudanganyi mtu.....umri huo sio wa kubishana mambo ya kitoto....piga kazi tuone elimu imekusaidia usije kuishia kufulia kama wazee wenu wa zile kota za muhimbili pamoja na pHD zao....aibu sana madaktari......
tunaweza kuwa tunaongea mtu kumbe anapost kutoka bar na tayarizimemkaa. mtu akichanganyikiwa kwa kuwekewa drip kuna fizikia gani? kucontrol flow rate ya drip hata darasa la saba anaweza? usidanganye watu hapa kusoma cardiac circle haemodialysis na electrocardiography kuna physics gani kubwa CBG asiweze? ninawasiwasi unapost toka ulevini maana umeshaanza kuwatusi wenzako. labda ungesema pharmacy inataka sana fizikia na yenyewe upande wa viwandani tu.
mdogo wangu sikia, soma shule umalize uje bongo ndo ujue kwa nini madaktari maskini. Na sio kila anayesoma udaktari anakuwa practitioner. Kuna wengine hata internship hawaendi wanafanya mambo yao. Hata huko uliko siyo kila mtu anasoma medicine, kuna vigezo vyao vinavyoendana na mtaala ulioko huko ndo maana mpaka leo dunia haitosheki kwa madaktari. Mtaala wa medicine wa tanzania uko kama ulivyo kinachotakiwa ni kupendekeza mabadiliko badala ya kujivunia exposure ya kwenda nje na kuanza kulazimisha bila kubadili utaratibu uliowekwa. Huo ni uvunjaji wa sheria zilizopo, tusiwe kama wanasiasa. Huyo jamaa yako hapo juu alikuja bongo na majivuno ya kusoma nje ko ana exposure ya kutosha, maskini akakutana na mazingira yasiyo hata na gloves kazi ikamuwea ngumu badala yake akaanza kuwalaumu walosoma bongo na kuwachukia. Dogo soma uje ujue kwamba huku Dx za cough hazipo.!
haka ni katoto.... nasisitiza mtu wa hgl anaweza soma medicine, fursa ndo ishu
Kuna Dogo namfahamu alisoma HGL Mzumbe na Akapata scholarship ya kwenda kusoma Medicine Uturuki I think there is something wrong with our education system
phisics yenyewe mnaosoma vijana wa siku hizi ya videsa.eeenzi za mwalimu hakuna cha videsa wala nini mavitabu makuubwa kwelikweli,vine and rees vol.1and 2 siku hizi mna mpaka biological science na vitabu vingine vilivyoandikwa na akina nyambari ndio mnaaza kutabiana hapa?
Nimesoma CBG....katika shule niliyosoma nadhani one ya CBG kama ilishawahi kutokea nadhani ilikuwa miaka ya 70 mpaka intake yetu ilipotoa div one na sijui kama kuna one toka tumalize ....acha kudanganya umma....div one za CBG ni za kumulika na tochi....mimi nimefaulu chemistry na biology kupita hao PCB yani unataka kusema physics ndio iwabebe....kama wana akili kimewashindwa nini kufaulu hayo masomo kunishinda mimi wa CBG na tulisoma kitu kile kile......sikiliza mkubwa...mimi CBG soon nakuwa daktari na naenda kutibu shangazi zako pale muhimbili au hospitali yoyote nchini....kama umemaind sana "panda ukazibe".....goma linayeya hivo
Acha ushamba na ujinga. Vyuo vipi kufundisha madaktari sio kupitisha madaktari. Kama chuo kinafanya kazi ya kufundisha kwa ufasaha hata mtu wa HGL anaweza kusoma udaktari.
Sasa mtapataje div 1 wakati wote ni insecure na Vilaza ndo mnaosoma CBG?alafu wenzako physics inawaconsume kwahiyo ku balance Muda wa hiyo chemistry na biology unamezwa na physics!we geography inaugumu gani?watu hadi Vilaza Kabisa..hgk hge..etc wanafaulu ndo sembuse watu wa sayansi?
haka ni katoto.... nasisitiza mtu wa hgl anaweza soma medicine, fursa ndo ishu
kama kweli watanzania tupo serious tufanye utafiti kidogo tuchukue wanafunzi waliofanya vizuri sana katika HGL,HKL. KLF AND the like,wawe kama100 hivi waende wakasomee udaktari pale Mhimbili na wafundishwe na walimu bora kabisa halafu tuone wangapi watadumu mpaka mwisho na wanafaulu.tuache siasa kwenye mambo serious. mpaka hapa nimejua ni kwanini watoto wanafika sekondari hawajui kusoma na kuandika lakini bado kuna watu miongoni mwetu wanaamini wanafunzi hao wanaweza kumudu elimu ya sekondari na kusonga mbele.policy makers wetu balaa.
Wadau Hiki kitu kinaitwa TCU haliwatakii watanzania mema..toka kimeanza kufanya kazi zake, wamekuwa wakichagua wanafunzi waliosoma combination ya CBG Kwenda kwenye fani ya udktari..hii haikubaliki yani no dhulma kwa wale wanaosoma PCB! Haiwezekani umshindanishe mtu wa CBG ambayo ni rahisi kufaulu kuliko PCB Kwenda kwenye chuo hicho hicho..geography an physics wapi na wapi? Jamani TCU jiangalieni..ndio maana muhimbili waliwakataa hao wanafunzi waliokimbia physics..hakuna DAKTARI bila physics!take it or leave it..watafutieni Jina lingine