Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,671
- 11,338
45% of clinical medicine ni chemistry,40%ni biology,15%ni physics, geography is 0% ALEVEL
PCB=45+40+15=100%
CBG=45+40+0=85%
CBG anaweza kusoma medicine vizuri ila atakuwa na mapungufu machache tu ambayo mimi nayachukulia kama neglible,ivyo CBG anastahili kusoma medicine kwani chemistry na biology contributes so much.
Background serves only as an added advantage, it has nothing very special to do with what a profession a person is pursuing at the University. When you go there, you start over, very new things...of course background helps but its not necessary... Hata mtu wa HKL can be trained and become an MD.
Analysis nzuri mdau ndio maana tunapokuwa chuo kuna topics zingine unakuta mtu aliesoma combi flani anakuwa anazikamata na wale ambao ndio new topics inakuwa ni sehemu ya ku-gain na mwisho wa siku wote wanatoka na uelewa.
C'mon pple..you apply physics in tappin fluids from the body..electrocardiography..n so many...alafu it's not fair mtu ALIYESOMA an easy combo of subjects..Tuulize sisi tunaojua..au unataka kutibiwa na jitu lisiloelewa linachofanya..unajua mtu akiwa anafanya kitu kwa kuelewa na experience huyo anakuwa very flexible akiona any new changes..tofAuti na jitu la CBG halielewi fluid principles..electricity..waves alafu linakutibu tuu..Kama robot..hawezi kureason vitu kwa kutumia principles za physics za kawaida anang'aa sharubu..kamwekea mgonjwa drip ya maji mgonjwa kachanganyikiwa kichwa kinamuuma hajui nini kinaendelea
Anaposema combi rahisi ame-base wapi maana mtiani wa Chemistry, Biology na BAM anaofanya mtu PCB ndio huohuo anaofanya mtu wa CBG tofauti ni kwamba huyu ana Physics na huyu ana Georgraphy.
Isitoshe elimu ya Tanzania kuna miaka kabla ya syllabus kuchakachuliwa mwanafunzi wa O-level jinsi alivyokuwa nondo anaweza kuingia chuo directly kwa baadhi ya course maana unakuta mtu anaingia A-level anakutana na topics ambazo nchi nyingine watu wamesoma mwaka wa kwanza chuo.
Madaktari (hasa wa tanzania)...wamejengwa na egocentrism ya kufa mtu.....na hii inaanzia mbali sana toka sekondari...dharau zinaanza kwa wanaosoma kombi nyingine...unaingia chuo labda tuseme Muhimbili...unajifunza kudharau waliosoma IMTU...unaingia kazini...unaanza kuona ma-AMO si kitu kabisa na inaendelea...ndio maana hakuna field yenye majungu kama medicine....hii ni kozi inachukua cream ya taifa ila kiukweli madaktari wengi "wamefulia" kwa ujinga kama unaounyesha hapo juu....nimekaa kota za muhimbili najua ninachoongea....tunajiona sisi ndio mwisho mpaka hatupendi kushirikiana na kusaidiana....sasa angalia hapo juu jamaa linamponda ZeMarcopolo ati chinja chinja.....Majungu na Pombe tu....ndio maana waliopata division 3 na kwenda kozi nyingine wanapotupita kimaendeleo tuna-mind ila yote hii ni kutojitambua.......Wewe utakuwa na hasira na mtu fulani alisoma CBG sasa wakati mko sekondari ulifikiri ataenda kusoma "Chuo cha Nyuki" sasa kapata medicine kama wewe naona hata kulala umeshindwa....
Nishakueleza hapo awali...Physics muhimu ila sio kama unavyotaka kudanganya watu hapa ioenekane bonge la ishu...waliosoma Medicine wanalifahamu hilo.....Pole kama imekuuma ila endelea kubwabwaja ila watu wanasonga mjomba utashangaa giza limeingia ujafikisha hesabu....TAFAKARI
radiology wanasoma watu wa O level na ni radiographers wazuri, acha hizo, watu mara nyingi wanakosa access to opportunities tu lakini haina maana alofanya PCB ni mkali zaidi, it is a game of chance. Ujue huwa mara nyingi hatuna choice inabidi usome kitu kwa vile ndo ulipopata
tunaweza kuwa tunaongea mtu kumbe anapost kutoka bar na tayarizimemkaa. mtu akichanganyikiwa kwa kuwekewa drip kuna fizikia gani? kucontrol flow rate ya drip hata darasa la saba anaweza? usidanganye watu hapa kusoma cardiac circle haemodialysis na electrocardiography kuna physics gani kubwa CBG asiweze? ninawasiwasi unapost toka ulevini maana umeshaanza kuwatusi wenzako. labda ungesema pharmacy inataka sana fizikia na yenyewe upande wa viwandani tu.
Kwa taarifa yako..am not in the medical field but am very well informed about the discipline..maskini wengi wanaosoma PCB wanaishia kupata div3..sasa, vyuo vya private tu ndo vinavoaccept such credit..nyie maskini Kama nyie wa PCB hamuwezi kuafford costs za private mnaishia kutapatapa..mwenzako kasoma CBG which is very easy kupata division 1..alafu unawaput into the same game..is the competition fair?acheni Kuwa Kama wote ni mahaters wa madaktari..
YES inaweza kureplace physics kumbuka uyu mtu ana background physics olevel,Unajua ata ukisema ni 5% siyo ishu!ishu ni kwamba tht 5% can be very significant and irrepleaceable! We unadhani geography inaweza kuireplace physics kwenye medicine? C'mon man..the simpler route is always the faultiest route
Background serves only as an added advantage, it has nothing very special to do with what a profession a person is pursuing at the University. When you go there, you start over, very new things...of course background helps but its not necessary... Hata mtu wa HKL can be trained and become an MD.
Madaktari (hasa wa tanzania)...wamejengwa na egocentrism ya kufa mtu.....na hii inaanzia mbali sana toka sekondari...dharau zinaanza kwa wanaosoma kombi nyingine...unaingia chuo labda tuseme Muhimbili...unajifunza kudharau waliosoma IMTU...unaingia kazini...unaanza kuona ma-AMO si kitu kabisa na inaendelea...ndio maana hakuna field yenye majungu kama medicine....hii ni kozi inachukua cream ya taifa ila kiukweli madaktari wengi "wamefulia" kwa ujinga kama unaounyesha hapo juu....nimekaa kota za muhimbili najua ninachoongea....tunajiona sisi ndio mwisho mpaka hatupendi kushirikiana na kusaidiana....sasa angalia hapo juu jamaa linamponda ZeMarcopolo ati chinja chinja.....Majungu na Pombe tu....ndio maana waliopata division 3 na kwenda kozi nyingine wanapotupita kimaendeleo tuna-mind ila yote hii ni kutojitambua.......Wewe utakuwa na hasira na mtu fulani alisoma CBG sasa wakati mko sekondari ulifikiri ataenda kusoma "Chuo cha Nyuki" sasa kapata medicine kama wewe naona hata kulala umeshindwa....
Nishakueleza hapo awali...Physics muhimu ila sio kama unavyotaka kudanganya watu hapa ioenekane bonge la ishu...waliosoma Medicine wanalifahamu hilo.....Pole kama imekuuma ila endelea kubwabwaja ila watu wanasonga mjomba utashangaa giza limeingia ujafikisha hesabu....TAFAKARI
Me napita tu hapa..ngoja niwaache wakuu..maana I dd CBG na walinidamp kusoma huo udoctor
Wadau Hiki kitu kinaitwa TCU haliwatakii watanzania mema..toka kimeanza kufanya kazi zake, wamekuwa wakichagua wanafunzi waliosoma combination ya CBG Kwenda kwenye fani ya udktari..hii haikubaliki yani no dhulma kwa wale wanaosoma PCB! Haiwezekani umshindanishe mtu wa CBG ambayo ni rahisi kufaulu kuliko PCB Kwenda kwenye chuo hicho hicho..geography an physics wapi na wapi? Jamani TCU jiangalieni..ndio maana muhimbili waliwakataa hao wanafunzi waliokimbia physics..hakuna DAKTARI bila physics!take it or leave it..watafutieni Jina lingine
45% of clinical medicine ni chemistry,40%ni biology,15%ni physics, geography is 0% ALEVEL
PCB=45+40+15=100%
CBG=45+40+0=85%
CBG anaweza kusoma medicine vizuri ila atakuwa na mapungufu machache tu ambayo mimi nayachukulia kama neglible,ivyo CBG anastahili kusoma medicine kwani chemistry na biology contributes so much.
YES inaweza kureplace physics kumbuka uyu mtu ana background physics olevel,
bachelor of medicine
1st year=biochemistry is chemistry,
anatomy is biology
physiology is biology+chemistry+olevel physics is enough
2rd year= parasitology+microbiology=mainly biologyand chemistry
3rd year= pharmacology= chemistry+biology,
4th year= clinical rotation
5th =clinical rotation
other radiology is just introduction haitaji physics ya ALEVEL
ECG=only basic issues ndizo zinafundishwa only physics ya olevel inatosha
so inconclusion no effect of physics in medicine
bora wewe mwenye cbg, kuna watu wanasema eti hadi hkl sijui hgk? Loh! Huku ni kujidanganya kwamba mko sawa wakati iq ziko tofauti.