jiwe la maji
JF-Expert Member
- May 17, 2014
- 1,062
- 706
Wadau Hiki kitu kinaitwa TCU haliwatakii watanzania mema..toka kimeanza kufanya kazi zake, wamekuwa wakichagua wanafunzi waliosoma combination ya CBG Kwenda kwenye fani ya udktari..hii haikubaliki yani no dhulma kwa wale wanaosoma PCB! Haiwezekani umshindanishe mtu wa CBG ambayo ni rahisi kufaulu kuliko PCB Kwenda kwenye chuo hicho hicho..geography an physics wapi na wapi? Jamani TCU jiangalieni..ndio maana muhimbili waliwakataa hao wanafunzi waliokimbia physics..hakuna DAKTARI bila physics!take it or leave it..watafutieni Jina lingine
mimi naamini kabisa pysics haina chake kwenye udaktari kwani nyie madaktari wa hapa tanganyika ndio mko kwenye viwanda vya kutengeneza amulance, x ray machine O2 machiene, endoscope micoscope na machine zingine za hopital mpaka iwalazim kujua physics
wenye uliyesoa pcb ndio unajioa una iq kubwa sana naombeni mniwie radhi mlie soma pcb hapa tanganyika watu wanaoogopwa hata tanganyika ni wale waliosoa hesabu za kweli pcm na egm hesabu ndio janga la taifa
Hizo ni fikra zako. Kuna jamaa tumesoma wote O level alikuwa anachukua masomo ya art na biashara, tukaingia naye Dar tech lakini yeye kaingia kwa jina la mtu mwingine kwa kuwa hakusoma science. lakini alikuwa anatupeleka sana, sikuamini kama ndo yeye, na alikuwa anafaulu vizuri sana.
hata nape alienda kusoma india baada ya kufeli form six. Jiulize chuo alichosoma. Kuna vyuo hela yako ndo inaongea badala vigezo vya mtu. Kwani unadhani phd feki za kina nchimbi, nagu, kamala hazikutolewa na vyuo? Mbona wanagraduate tena mzumbe?
Hawalali humu