sawa ila kama kweli amelikuza jambo na yeye kakoseaKifupi dada kafanyiwa ukatili na aliyemfanyia yupo magereza sasa hivi,
Hilo ndio kubwa mengine watajijua wenyewe
Ule uso hujauona ulivyokua?sawa ila kama kweli amelikuza jambo na yeye kakosea
sasa huyo mwanaume akihukumiwa adhabu isiyo yake haitakua sawa.... uchunguzi ufanyikeUle uso hujauona ulivyokua?
Kama kang'atwa na Nyuki maana hata mabondia hawavimbagi vile
Shambulio la Mwili, hiyo sio adhabu yake?sasa huyo mwanaume akihukumiwa adhabu isiyo yake haitakua sawa.... uchunguzi ufanyike
hapa nimekuelewa vizuri.....Shambulio la Mwili, hiyo sio adhabu yake?
Tena angemtoa jicho ilikua afunguliwe shitaka la kujaribu kuua.
Akina Jackline wakoje mkuu?mimi nilivyo sikia anaitwa jacklin sikutaka kutia neno
ni waigizaji wazuri sana,Akina Jackline wakoje mkuu?
Ni tabia ya mtu binafsi mkuu..haihusiani na jinani waigizaji wazuri sana,
Wa mengi si ukiona alitaka watoto wa mengi wapate bukuNi tabia ya mtu binafsi mkuu..haihusiani na jina
mkuu huo ni uzoefu wangu hao kina jacklin achana nao kabisa kwenye mahusianoNi tabia ya mtu binafsi mkuu..haihusiani na jina
Sasa Jackline wa Mengi ndo waa kila mtu mtaani?Wa mengi si ukiona alitaka watoto wa mengi wapate buku
Umedate na akina jackline wangapi?mkuu huo ni uzoefu wangu hao kina jacklin achana nao kabisa kwenye mahusiano
mkuu nakubali kutokubaliana na wewe siko hapa kuleta dialogue na argument zisizo na tijaUmedate na akina jackline wangapi?
Sawa.ila tabia haina jina.mkuu nakubali kutokubaliana na wewe siko hapa kuleta dialogue na argument zisizo na tija