Dakitari huyu naye kafunguka

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,456
Reaction score
872,092
Modest Bafite atoa maoni yake kuhusu Jackline anayedaiwa kutobolewa jicho na kung'olewa jino na mzazi mwenzie

"Ni HAKI ya wanasiasa kuwachukulia watanzania kama wajinga maana wenyewe hu react kama wajinga, hata wale waliosoma still huwa wanakuwa na reaction za kijinga kushabikia upuuzi, hivi mnajuwa kutobolewa macho nyie? Mnajua kung’olewa jino kwa plaizi bila ya ganzi?,

yaani Ung’olewe Jino na Kutobolewa macho halafu uruhusiwe kutoka hospital ndani ya masaa 24, ufanyiwe interview uongee vizuri kabisa, acheni ujinga na upumbavu, kutobolewa jicho mchezo? Kitaalam Huyu binti angekuwa ametobolewa macho Lazima angefanyiwa upasuaji na mpaka Leo angekuwa hospitalini, kwa ufupi Huyu binti ni muongo kwa asilimia 100, ni vile tu wanaume siku zote huonekana wabaya hata kabla yakusikilizwa.

kama itathibitika ametobolewa macho naomba kuvuliwa udaktari, nikiwa na maana, wizara ya afya kupitia waziri Ummy Mwalimu aifute leseni yangu, Nipo tayari kuachana kabisa na udaktari endapo itathibitika mtu alietobolewa macho anakuwa kama Huyu binti.

N.B: Naomba nieleweke Si support ukatili wa kijinsia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daktari yupo sahihi kwa taaluma yake
Alafu ukweli unafichwa yule si mume wake wa ndoa ni danga lake nilimsikia baba yake mzazi akisema binti yake ana mume wake wa ndoa na kazaa nae watoto wawili huyu jamaa kamshawishi katoka kwa mumewe akampangia kama mchepuko ila nae alizaa nae watoto wawili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Doctor upo absolutely right. Mambo ya wanandoa kuyashabikia kama mpira wa Yanga na Simba huwa ni ujinga uliopita kias. Inakuwaga kusingiziana kwingi ili mmojawapo amkomoe mwenzake. Eidhamojawapo afungwe ili mmojawapo abaki na mali zilizopo. Watanzania tuwe makini sana na kuyakurukupia mambo ya wanandoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe huyo binti ni mshenzi sasa
 
mimi nilivyo sikia anaitwa jacklin sikutaka kutia neno
 
Haki ya Mungu huyu Dr. Wakimzingua nachangia milioni3 cash ataomba aweke account yake hapa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…