Dakitari huyu amethubutu na ameweza

Nyie madaktari mnalazimisha utajiri kila mtu amefungua page facebook hasa hawa Dr toka kcmc ni shidaa, Mbona muhimbili madaktari bingwa tunawatafuta, wewe unauza fani Kama maharage
 
Nyie madaktari mnalazimisha utajiri kila mtu amefungua page facebook hasa hawa Dr toka kcmc ni shidaa, Mbona muhimbili madaktari bingwa tunawatafuta, wewe unauza fani Kama maharage
Huduma hii imesajiriwa kisheria na ni group of companies na inalipa kodi vile vile.kama ingekiuka SHERIA za nchi isingesajiriwa
 
Huduma hii imesajiriwa kisheria na ni group of companies na inalipa kodi vile vile.kama ingekiuka SHERIA za nchi isingesajiriwa
Usivujike moyo mkuu! Hiyo huduma ni muhimu sana.
 
Usivujike moyo mkuu! Hiyo huduma ni muhimu sana.
Pamoja Mkuu asante sana
Sasa ninashangaa watanzania wanataka watu wajiajiri kwa kumfollow mange kimambi Ama nini
 
Huduma hii imesajiriwa kisheria na ni group of companies na inalipa kodi vile vile.kama ingekiuka SHERIA za nchi isingesajiriwa
Haya Ndio ya Dr Mwaka, Mmefikia hatua mnatafuta wateja, Mnataka kuua innocent people kisa mmekosa ajira, Kwanini muanze kujitangaza, Uwezo wako utakusafisha, Umegeuza udaktari Kama Commerce au Marketing, Acha udaktari rudi kwenye biashara zingine, huo ni utapeli, Eti unapima damu halafu unabeba mitaani kisha Baadae unaleta home kwangu majibu, Hospital kuna process na mgawanyiko wa kazi, wewe unajifanya lab tech halafu daktari, Shame on you ni muhimu kupitia sheria upya hili ni janga kubwa la utandawazi
 
Hili lako umetusaidia Sana kumuona waziri wa afya kingwala awadhibiti mapema
 
Nyie madaktari wa sijui first degree, sijui Clinical officer's mmejiharibia, hili utalisikia bungeni likiwataka muondoe page zenu uchwara mitandaoni ni aibu daktari hajui ethics za kazi, Ulisoma nini na wapi? Kilaza mkubwa wewe, unatangaza udaktari wa binadamu
 
Lakini kama brella walikubali kunisajili kama first Tanzania online medical consultation panel na kuniruhusu kufanya branding na publicity basi niko kwenye mikono salama

Afrimec company group
Type CV yako, isije ikawa tunabishana na BASHITE.
Hivi Brela wanasajili madaktari?
Rules and regulations za Ku run medical services zinatolewa na Brela?
 
Tapeli mwingine huyu

So negative kwa maisha na mafanikio ya wenzako! Shame on you!

Hata simple google ungeweza kujua undani wa alichokitangaza. Sasa kwa akili yako, atafahamika vipi bila kuweka information in public? The good thing..they are doing it online.... Yes, lawyers, Architects, doctors etc wana limitations za kujitangaza. But it is not strictly prohibited. (I happen to be in one of these categories). Kila siku tunapata info. online za madaktari na wauguzi huko nje. If not, how then do we go to India na kwingineko kupata matibabu???

Tusipende kuwa negative, especially tunapoona mwingine anakuwa tofauti na mazoea yetu! Tuwe wepesi wa kujifunza kuliko kulaumu. Especially kwa wale wanaofikiria tofauti na sisi.
 
知己知彼,百戰不殆。 ( Zhī jǐ zhī bǐ, bǎi zhàn bù dài. )
If you know both yourself and your enemy, you can win numerous (literally, "a hundred") battles without jeopardy.
 
The the the imebid nicheke jinsi unavyona the wa way we differ in thinking

Kwanza kabisa tambua kua Kampuni hii INA watumish wake
Ina madaktari ina nurses ina lab technician ina had wafamasia na pia ina management may be hukuewa jinsi ilivyopstiwa sijaja kufanya argument nimekuja kuwapa info watanzania na had sasa mwanza tuna client zaid za 590 endelea kununa utaishia kumlaumu Mheshimiwa maguful kumbe wewe ndo unajozorotesha hahaha hahahaha
 
Hii huduma yako ni nzuri sana watu hawajui...mimi huwa sipendi kupanga foleni hospitali, sipendi kujulikana naumwa....yaani kama una ugonjwa wa siri kila mtu ajue ebo!
labda ungetuambia na gharama zako...
 
Hapa sijitangaz natangaza Huduma ninazotoa mfano kama ambavyo unaweza tangaza clinics yako ya meno nk
Huku ni kujitangaza. Kuweka huduma unazotoa na kueleza kuwa hakuna mwingine anayetoa ni kujitangaza.
Example PHYSICIAN Bsc Makerere 012 345 678 . Hili sio tangazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…