Mradi hajataja tiba ya nguvu za kiume au ku diagnose kitu kama ukimwi, kaswende nk. Mimi huyu naona ni genuine dr. Bujibuji usimwonee.Tapeli mwingine huyu
mkuu vip ulipata pesa zako kwa mtu aliye kutapele kwa kutokuwa na busara kukurudishia pesa zako...Minaomba kujua hicho alicho kiweza baada ya kuthubutu
Ilipatikana mkuumkuu vip ulipata pesa zako kwa mtu aliye kutapele kwa kutokuwa na busara kukurudishia pesa zako...
aliskia kilio chako jf nn hongera sana mkuu ushimen...Ilipatikana mkuu
ni marufuku kwa daktari kujitangaza. Labda wawe wamebadili jana.Daktari gani unajitangaza? Ina maana huzijui hata ethics za udaktari. Wewe na Ndodi ni wapigaji hatari.
hamis @kigwangala hebu njoo huku
Hakusikia na alikua mkaidi, ilibidi nitumie nguvu ya dola kupitia kwa cyber crime.aliskia kilio chako jf nn hongera sana mkuu ushimen...
ahaaa hapa kazi tu mwambie akaze roho tu.... hakuna pesa ya bure now labda uwe mlemavu macho....Hakusikia na alikua mkaidi, ilibidi nitumie nguvu ya dola kupitia kwa cyber crime.
Minishajitoa, huko alipo anaburuza kesi ya wizi, na naona ameiingiza familia yake kwenye deni la haja. Yangu imekwisha na sasa anashtakiwa na jamuhuri, na kama ujuanyo jamaa wale wakishakua na ushahidi, hua wanataka mlungula tuahaaa hapa kazi tu mwambie akaze roho tu.... hakuna pesa ya bure now labda uwe mlemavu macho....
πππππ tamaa huzaa umauti kila la kher mkuu.Minishajitoa, huko alipo anaburuza kesi ya wizi, na naona ameiingiza familia yake kwenye deni la haja. Yangu imekwisha na sasa anashtakiwa na jamuhuri, na kama ujuanyo jamaa wale wakishakua na ushahidi, hua wanataka mlungula tu
Mwizi mkubwa wewe. Huduma za Afya toka lini zikatangazwa?? Hujui hata miikoHapa sijitangaz natangaza Huduma ninazotoa mfano kama ambavyo unaweza tangaza clinics yako ya meno nk