Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo ameweka umeme kwenye zahanati ya Kisiwa cha Soswa iliyopo katika jimbo hilo na kumaliza kero ya muda mrefu ya wanawake kujifungua kwa msaada wa mwanga wa tochi, iliyokuwa ikiwakabili wananchi hao
Hatua hiyo imepongezwa na wananchi wa Kisiwa cha Soswa ambapo wamesema kuwa ni hatua kubwa ya maendeleo kwenye kisiwa hicho yaliyofanywa na Mbunge Shigongo
Shigongo amesema hatua hiyo ni mwendelezo wa kutimiza ahadi alizowaahidi wananchi wakati anaomba ridha ya kuwatumia
Soma pia: Wananchi Buchosa wameshukuru na kumpongeza Mbunge wao Eric Shigongo kwa miradi ya maendelea, wametoa mitano tena
- Eric Shigongo: Rais Samia kutoa Billioni 8 kujenga kivuko kipya na kuongezeka kwa vivuko vinne Buchosa
-