Dakika ya 89: Freeman Mbowe 0 vs Halima Mdee 5

Mkuu jaribu kuangalia ulichokiandika tena unatagundua kuwa wewe ndio umepigwa 10-0 (huelewi kabisa mantiki). Swali jepesi: Wewe umemuibia mwajiri wako (chukulia mfano umeajiriwa) kagundua,arafu bado unaomba akupe mda wa kukusikiliza zaidi pengine atapunguza hasira za kuibiwa. Hivi hizo ni akili au matope
 
Tusimchonganishe Kamanda Mdee na Gwiji wa Siasa za Upinzani Ndugu Freeman Aikael Mbowe

Halima kakiri wote ni zao lake
 
Walikatazwa na aliyewaapisha kwenda kuhojiwa.
Mbowe hakuwa na hasira na waathirika bali alikuwa na hasira na chatu aliyekuwa kawakumbatia. Chatu kaamua kutapiga mzigo. Hata wewe ulimsikia akijikosha kuwa hawa hawatakuwa wabunge labda wajiudhuru. Nafikiri wamekwisha kula Pesa za kujiudhuru kumuokoa na aibu ya kuvunja katiba. Waathirika wamekubali kuwa mpaka sasa wamefukuzwa na chama chao. Kwa kauli hii ndio kujihudhuru huko bungeni haingii mwanachama wa hiari.
Halima kakubari kuwa wanaume na wanawake wanatofautiana kuona mambo kauli hii ni kukubari kwenda kwenye mtizamo wa wanaume. Mpaka hapo ndio mchezo kwisha chadema imeshida Bunge litabaki na dharau yake ya kuwa kusanyiko la CCM kuangamiza kodi za watanzania
Muapishaji alitumia nguvu kubwa ilikulipa Bunge hwshima kwa kuwa na watu wenye asili ya kupiga na si wapinzani wa kuigiza baada ya kuambiwa na wakuu.
 
Pumbavu wewe huna akili.
 
Wewe umekua mjanja kuliko wenzako number ya simu umeiweka juu kabisa watu waione kabla ya kusoma shairi lako.

Huu wako Ni ubunifu mpya.
 
Kwa nini hamjibu swali la Mdee?

Kwa nini 2010 ,2015 wabunge wa viti maalum waende bungeni na 2020 wasiende?
Kwa akili yako timamu kabisa ni mwaka gani ambao Chadema walisema kuwa hawayatambui matokeo ya Ubunge zaidi ya mwaka huu?
Kwa taarifa yako ni kuwa mwaka huu Chadema wamekataa matokeo ya uchaguzi wa ngazi zoye tofauti na miaka mingine.
 
Only kwa MAZWAZWA na Kamongos kwa wenye akili timamu katiba ya Chadema haibadilishwi kiholela holela ili kukidhi mahitaji ya mtu mmoja mmoja au kikundi cha COVID19. Ukivuliwa uanachama basi wewe si mwanachama na huwezi kuiwakilisha Chadema kwenye lolote lile.
 
Buku Saba hupati na teuzi hupati
Full stop
 
Hivi ameongelea majina yao yalifikaje NEC? Mdee kwa nafasi yake ya Mwenyekiti wa wanawake BAWACHA, yeye ni mjumbe wa CC ya chama chake, ilikuwaje akubali kuitwa bungeni kwenda kuapa bila kujua majina yao yamepatikana vipi maana hakuna kikao alichohudhuria kujadili majina ya viti maalumu. Kabla ya kwenda kuapa, hakuona umuhimu wa kujiridhisha kutoka kwa uongozi wa chama chake juu ya orodha hiyo ya wanachama 19 kama katibu wake mkuu ndiye aliyepeleka hayo majina?
 
Mtu anaenda kukata rufaa halafu unasema Halima 5?

Bure kabisa. Hufai kwa uteuzi na hiyo namba yako ya simu!
Safi sana. Yaani ameleta mapenzi binafsi kwa huyo Halima kwenye masuala mazito kama haya. Huo ushindi wa 5 anaompa Mdee hata wanaopenda awepo Bungeni hawauoni. Kilichobaki ni itumike nguvu tu kuwabakiza bungeni kinyume na katiba ya nchi.
 
Naona umeacha na contact kabisa ili mfalme akipendezwa na bandiko lako akupe uteuzi ila ulichoandika ni ugoro mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…