Dakika ya 89: Freeman Mbowe 0 vs Halima Mdee 5

Kwa nini hamjibu swali la Mdee?

Kwa nini 2010 ,2015 wabunge wa viti maalum waende bungeni na 2020 wasiende?
Muda unabadilika...vitu vinabadilika...Maisha yanabadilika...mbinu za kupambana na maisha zinabadilika...hatuishi kwenye past wala future bali the present...
 
Unategemea kitu gani cha maana kinachusu CDM kitatoka Lumumba
 
Nakumbuka Mbowe aliwapa nafasi ya kuomba msamaha. Ninaamini 19 kuvaa gwanda ndo kuonyesha Itikadi yao wanayoishi nayo rohoni Kama nilivyo Mimi mwanaccm
 
Wewe ni mtu mwenye heshima sana hapa jukwaani. Bila shaka wapo wanaonufaika na michango yako!

Ongeza ujuzi wa kukabiliana na hoja kinzani au fikra kinzani pasi na jazba!

Ni mtazamo wangu tu. Samahani kama umekwazika
Huyo yohana ana heshima gani humu.
 
naona unatafuta uteuzi, njaa mbaya sana
 
akili yako ndo imeishia hapo
 
Huu upendo wa Mifisiem kwa covid-19 ni wakushangaza sana. Tokea lini mtesi wako kipindi chote akawa mfariji wako kipindi cha shida???
 
Mdee na genge lake walishafukuzwa. Sasa leo ana ushindi gani. Km wameshinda 5 na Mbowe 0,kwann wanaenda kukata rufaa.Huu ushabiki halafu hujui unachoandika ni kujidhalilisha.
Na NEC kuwafukuza ilikuwa timing nzuri Sana,km wangewapa muda wa wiki moja waliyoomba saa hizi wangekuwa mahakaman kupinga chama kisiwachukulie hatua.ilikuwa ni mtego.
Na Halima leo wanaongea yale kwasababu waliwahiwa.chama kingechelewa kuwafukuza leo wangekuja kuitisha press ya kukinanga chama kuwa wao ni washindi.
Na usishangae hata huo ukumbi ni kitengo kimewalipia.
 
Hakika kuelewa ni kipawa / kipaji.
Mdee kashindwa kabisa kujibu maswali ya msingi kuhusu mchakato mzima na mwisho akakubaliana na uamuzi wa chama na kujiita mwana chama wa hiari na kusema atakata rufaa. Vile vile kakiri kuwa Mbowe ndiye mentor wake na ndiye amemfikisha alipo na kakataa kabisa unyanyasaji wa akina mama ndani ya CDM, kwa kusema CDM ilitoa nafasi nyingi za kuwania uongozi / ubunge kuliko chama chochote.
as such press ya Mdee ilikuwa ni kuujilisha umma kuwa bado yupo CDM na anapambana kuendelea kubaki CDM vile vile kuonyesha kuwa siyo msaliti na hakulipwa chochote ingawa kagoma katakata kuelezea mazingira yaliyopelekea kwenda kuapa bila blessing za chama.
Kaongeza kusema kwa mdomo wake kuwa kamati kuu haijakosea kabisa maana kuna kipengele cha vikao vya dharura ndani ya katiba ya CDM.
Revise and Be Wise Otherwise No Rise.
 
 
Ccm inawauma mdee kukosa cha kusema,mlidhani anamwaga siri,kumbe hana lolote.mnaumiaaa

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Utakuwa ulisimuliwa press ya mbowe na vile haikuwa live kama ya hawa covid 19 basi umehadithiwa, na kwa taarifa yako, hesabu mabao mwenyewe na wape pongezi sana ila ndo vile chdma washamaliza
 
Dakika ya 90+5:

Wazungu 6 - 0 MATAGA
 
watu wanaotumia majina ya ndabila inaonekana wana akili finyu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…