Wizi ni wizi tuuu!!!uwiano wa dakika tunazouziwa na mashirika ya simu ni tofauti na dakika za SAA zetu???na kama ni sawa mbona zile zinakimbia sana??hivyo hivyo MB tunazouziwa ni tofauti na mb tunapo peruzi na kusanikisha!!TCRA sijui hawaoni hili??wazili yupo,naibu wazili yupo! jpm naomba kiti..............