Nyamuleha jr
Senior Member
- Feb 20, 2013
- 185
- 65
Dakika 10 Kabla ya Harusi yako ,. Unapigiwa Simu Kuna Dili la Milioni 300 .. Utaenda wapi ,. kwenye Harusi ? au kwenye Dili ? Naomba jibu.
Dakika 10 Kabla ya Harusi yako ,. Unapigiwa Simu Kuna Dili la Milioni 300 .. Utaenda wapi ,. kwenye Harusi ? au kwenye Dili ? Naomba jibu.
Nitamwambia padri ukweli ili afungishe ndoa within 5mins then nasepa
Kwenye sherehe ukumbini hata mdogo wangu anweza kukaa kama bwana harusi
umejuaje kama ni kwa padri na wewe?
Dakika 10 Kabla ya Harusi yako ,. Unapigiwa Simu Kuna Dili la Milioni 300 .. Utaenda wapi ,. kwenye Harusi ? au kwenye Dili ? Naomba jibu.
Unauliza makofi polisi..?Dakika 10 Kabla ya Harusi yako ,. Unapigiwa Simu Kuna Dili la Milioni 300 .. Utaenda wapi ,. kwenye Harusi ? au kwenye Dili ? Naomba jibu.
Hahahaaaaa sawa mzee wa KNi Tshs...au Zimbabwe $/money. Kwa mimi labda useme Kim Kardashian, ananiitia kimoja cha fasta hapo nitachomoka lakini milioni 300 zanini zote hizo. Ni nyingi mno.