Nyaru-sare
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 5,261
- 3,735
Wanakujibu pia ''acha ujinga'' jeneza bei mbaya hilo, tutaliuza tena? ohooo!!! rudi kifoni huko!! kuna walio pinda msibani! wachawi, walevi, wavuta bangi, walio jichokea maisha wamekuja kugonga menu tu hapo!!! wewe unacheza nini!Unaamka,unawafokea waache ujinga halafu unaendelea kufa.😂😂😂
tena wanakujibu hapo hapo usituharibie moody ya stimu!!! rudi huko kenge wee!! ...sasa hapo Ngoma drooo!! nani zaidi!! usidhani utawatisha walio pinda!...mkeo atabaki kujisemea ''sasa jamani hee! sasa....
Tena wana sisitiza na kusema heee!! amekufa tena!! teehteh! teh! kwkakwkakakakak gggeggegegeg.... mijitu imepinda wewe....