Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,371
- 14,517
Shida lugha^Those who are horrified, terrorized and paralyzed by death must first and foremost remember where they had been before they were born^ ~ Anonymous
Kabisa MkuuTule maisha kwa sababu maisha hupendelea kutula sisi
Sio rahisi kihivyoUnaamka,unawafokea waache ujinga halafu unaendelea kufa.[emoji23][emoji23][emoji23]
Unabisha?Hujawahi kufa weye!😂😂😂Sio rahisi kihivyo
Umeona eenhh??!!!Tena wanasema mzike haraka watu wale dah.
Jamani mwenye ka hela kake ale siku ukizima wanakula bila huruma. Hii ndo kinyaji napenda kuliko vyote.
Mimi nimejiwekea kila siku lazima ninywe lita moja na nusu ya maziwa,
sinywi pombe starehe nyingine sizijui nishindwe kula kitu moyo unapenda? Noo
Kufa hela yako ukaacha bank, tellers wakaiba kidogo, wasimamizi wa mirathi nao wakala , ndugu wakagombana, ndugu kila siku hakikisha unakula kitu moyo unapenda.
[emoji23][emoji23][emoji23]Wewe umewahi kufa???.Unabisha?Hujawahi kufa weye![emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo hivyo,unajibana wee!!!,Lkn siku ukifa unaachia wenzako wanakula kwa fujo.Aisee nimeipenda hii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa we endekeza ubahili wa kindeziAisee nimeipenda hii
😂😂😂😂😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa we endekeza ubahili wa kindezi
Kiasi.Ilikuwa zamani kidogo kabla ya Uhuru wa Tanganyika.🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23]Wewe umewahi kufa???.
Kha! Kumbe kufa nako kuna kiasi?!!!.Kiasi.Ilikuwa zamani kidogo kabla ya Uhuru wa Tanganyika.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Au siyo?!!.Kula bata kufa kwaja