Chakula hakipiti nawaza ule utamu anaonipa atakuwa anampa na mtu mwengineAhahahah nahisi chakula chako itakuwa dona dagaaz, huwezi kosa hamu ya kula mezani kukiwa na kitu kama italian pizza.
Mkuu unazidi kunichomaKama hukumkuta sealed, ujue aliyemtoa hawezi msahau.
tafuta pesa
Mkuu mm sio mtotoNi utoto tu unakusumbua pamoja na balehe,ukikua utajua na utaacha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kunywa sumu bas
Haya ngoja upate vidonda vya tumbo ndio utajua
ongeza ziwe nyingi mi nipo
Realy.? 25 years!! Then you u dont know what that means. Is this ur first time in relation.?