Yaani naongezea na kidhungu - How old are you son? na Hayo mahusiano ni ya muda gani?ha ha pole mkuu una umri gani, nakushauri achana na wivu unajitesa mwenyewe na sio yule unayemuonea wivu. ikishindikana kabisa piga chini.
Pole sanaHii imekuwa kawaida sana nikimpigia inatumika na hata akipokea majibu yake ya mkato mkato, simuelewi kabisa ananikondesha sana maana kuna wakati hadi hamu ya kula inapotea sijui nifanyaje.
Sent using Jamii Forums mobile app
I'm 25yeas back, relationship about 2yeasYaani naongezea na kidhungu - How old are you son? na Hayo mahusiano ni ya muda gani?
Siwezi kumuacha mkuuha ha pole mkuu una umri gani, nakushauri achana na wivu unajitesa mwenyewe na sio yule unayemuonea wivu. ikishindikana kabisa piga chini.
Sio plpl tu hadi ndimu lkn najawa na dukudukuPole Sana... Siku nyingine ukiwa huna hamu ya kula jaribu kuweka pilipili
Sent using Jamii Forums mobile app
utapoa tu