balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 16,752
- 15,503
Huyu naibu waziri Mpina ndivyo alivyo au hakujiandaa ama ni nini! Hata ungeambiwa ni mjumbe wa nyumba kumi kwa jinsi anavyochemka huwezi kukubali,kumbe ukitaka kujua kwa nini Tanzania ni maskin,yapo mengi nyuma ya pazia.