kwanza nimeshangaa eti anasema watanzania tumemshadadia kwa suala la Zimbambwe
akiwa kama kiongozi hakutakiwa kukosea na amekosea mara mbili kwenye hotuba moja inamaanisha hakuwa makini na alichokuwa anakifanya na alikuwa na uoga kama sio kutokujiamini, ingekuwa kiongozi wa busara angerudi katambua kosa akaitisha press conference atueleweshe anasuburi hadi redio na televisheni zimtafute ndio aje kuongea kuhusu hilo amenishangaza sana tena anatumia lugha ya wameshadadia hili neno limo kwenye kamusi?