Dakika 45 ITV na Philip Mulugo

King Kong III

Platinum Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
62,685
Reaction score
94,635
Umofia Kwenu,
Leo J3 03rd Dec 2012 ndani ya Dakika 45 atakuwepo Dep Minister wa elimu na mafunzo ya ufundi aka mzee wa zimbabwe,usikose kuangalia saa tatu usiku.
 
Reactions: EMT
Mambo ya mwaka (one nineteen sixty four) 1 19 64, ha ha ha ha ha ha ha
 
EMT usikose, ur twin broda!
 
Last edited by a moderator:
Reactions: EMT
Ameongea hayo katika kipindi cha dakika arobaini na tano kitakachorushwa saa tatu usiku huu,kipande cha maneno hayo kimesikika kwenye taarifa ya habari ya ITV akisisitiza watakaofanya mitihani ya kidato cha sita lazima wawe na credit tatu yaani 'C' tatu.

My take:
kwa uelewa wangu credit ni kuanzia alama A,B na Mwisho ni alama C.kulikuwa na ulazima gani kusisitiza lazima awe na 'C' tatu na asiseme credit tatu tu au angefafanua zaidi kwa kusema credit tatu yaani A,B,C. Mojawapo kati ya hizo? Huyo ndiyo Mulugo.
 

Hujamwelewa? Acha ushakunaku
 
Jamani mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, KIGEZO CHA KUCHEMSHA KIPINDI KILE ISIWE SABABU YA KUMFANYA HAJUI KILA KITU.Kutokana na muktadha mbona tumemwelewa tu, au ulitaka aanze kufafanua kila kitu? Alichokuwa anasisitiza ni kwa wale watahiniwa wanaotakiwa kufanya mtihani wa kidato cha vi hivyo, credit ya chini anayotakiwa kuwa nayo mtahiniwa ili afanye mtihani huo ni 'c' Mulugo umeeleweka bwana.
 


Huyu atasababisha wanafunzi wewe na malengo ya hizo ''C''. Ni kweli alitakiwa kufafanua vizuri maana ya credits siyo kutaja C, labda tusubiri atakapoongea kirefu kama atakazia hizo C hiyo italeta picha kwamba hicho ndiyo kiwango kilichompeleka F6.
 
Huyu atasababisha wanafunzi wewe na malengo ya hizo ''C''. Ni kweli alitakiwa kufafanua vizuri maana ya credits siyo kutaja C, labda tusubiri atakapoongea kirefu kama atakazia hizo C hiyo italeta picha kwamba hicho ndiyo kiwango kilichompeleka F6.

Hata mimi sikumuelewa!!

Sent from my GT-I9100 using Tapatalk 2
 

Mchemfu tuu huyu.....
 
Watu mnataka kichuguu kukigeuza mlima Kilimanjaro, what's the big deal hapo?
 
Mi ndo nmechanganyikiwa kbs yan na kutokwenda kwangu shule nasikiaga eti CREDIT na kwa form 4 na form 6 eti wanasemaga PRINCIPLE labda leo ndo nieleweshwe vngnevyo jamani
 
Muda huu kasema wamevifanya vyuo vikuu vyote kuwa vya kitaifa yaani"National schools"!!!
 
Amesema huwa anaandikiwa meseji na wasamalia "Mwema"
 
Hivi mulugo anaposema, vyuo vya ualimu ni vya kitaifa, hata zanzibar wanasoma ni kweli? Je si kwamba zanzibar mfumo wao wa elimu ya msingi ni tofauti na bara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…