Mpk Leo hii hakuna wimbo ambao atauondoa kwenye kichwa changuWaafrika bado tuna imani ya kitumwa kuwa ukifanya kazi na Mzungu, unapata ubora na mafanikio. Kuna uncle wangu anapiga zeze hiyo violin haioni ndani.
Hongera kwa kazi lakini.
Nina hofu ukweli wako watakuita team kibaWiki 3 nyimbo 3 na zote flop,Wakawaka bora angeiacha tu ndani ya album kwani ni bubble gum na imeshapotea!!
Diamond ifike sehemu atafute waandishi wamtungie nyimbo,nna kama lengo lake ni kuendelea kufanya kazi na wanamziki wa kimataifa basi pia akubali kufanya kazi na maproducers wakubwa wa nje ama kwa hapa Bongo afanye kazi na Hermy B wa B Hits ama Man water,Laizer uwezo wake mdogo sana ukilinganisha na ukubwa wa diamond na kwa sasa kafikia mwisho,bbeats zake ni vikopo tu!!
Warejee tu album yake ya kwanza na hii,nyimbo kama Chandachema,Nalia ft Chid Benz etc!!Nina hofu ukweli wako watakuita team kiba
Wiki 3 nyimbo 3 ie Sikomi,Niache na Waka na zote flop,Wakawaka bora angeiacha tu ndani ya album kwani ni bubble gum na imeshapotea!!
Diamond ifike sehemu atafute waandishi wamtungie nyimbo,nna kama lengo lake ni kuendelea kufanya kazi na wanamziki wa kimataifa basi pia akubali kufanya kazi na maproducers wakubwa wa nje ama kwa hapa Bongo afanye kazi na Hermy B wa B Hits ama Man water,Laizer uwezo wake mdogo sana ukilinganisha na ukubwa wa diamond na kwa sasa kafikia mwisho,bbeats zake ni vikopo tu!!
Wiki 3 nyimbo 3 ie Sikomi,Niache na Waka na zote flop,Wakawaka bora angeiacha tu ndani ya album kwani ni bubble gum na imeshapotea!!
Diamond ifike sehemu atafute waandishi wamtungie nyimbo,nna kama lengo lake ni kuendelea kufanya kazi na wanamziki wa kimataifa basi pia akubali kufanya kazi na maproducers wakubwa wa nje ama kwa hapa Bongo afanye kazi na Hermy B wa B Hits ama Man water,Laizer uwezo wake mdogo sana ukilinganisha na ukubwa wa diamond na kwa sasa kafikia mwisho,bbeats zake ni vikopo tu!!
Ngoma unayoiona flop ndio imegonga 1mil view kama audio. Umewahi kuona audio inagonga 1mil view within a week? Ukiipata nitagWiki 3 nyimbo 3 ie Sikomi,Niache na Waka na zote flop,Wakawaka bora angeiacha tu ndani ya album kwani ni bubble gum na imeshapotea!!
Diamond ifike sehemu atafute waandishi wamtungie nyimbo,nna kama lengo lake ni kuendelea kufanya kazi na wanamziki wa kimataifa basi pia akubali kufanya kazi na maproducers wakubwa wa nje ama kwa hapa Bongo afanye kazi na Hermy B wa B Hits ama Man water,Laizer uwezo wake mdogo sana ukilinganisha na ukubwa wa diamond na kwa sasa kafikia mwisho,bbeats zake ni vikopo tu!!
Maoni yako yangekuwa yana mantiki endapo tu ingekuwa mara kwa mara anashirikisha hao Wazungu!!Waafrika bado tuna imani ya kitumwa kuwa ukifanya kazi na Mzungu, unapata ubora na mafanikio. Kuna uncle wangu anapiga zeze hiyo violin haioni ndani.
Hongera kwa kazi lakini.
Hivi unajua maana ya copy wewe?! Anyway, inafahamika IF ame-sample baadhi ya beat notes! Hivi hujisikii aibu kutumia tu kiitikio cha "waka waka waka.......!" ndo useme wimbo amekopi?! Nyimbo hazifanani kwa beats, mashairi wala melody halafu unasema amekopi!!!!Warejee tu album yake ya kwanza na hii,nyimbo kama Chandachema,Nalia ft Chid Benz etc!!
Mwaka huu Eneka ni copy ya If ya Davido,Waka ft Rick Ross ame copy kwa Ney wa mitego wimbo wa Makuzi ambapo kama Ney wa mitego akivunja ushikaji na kushitaki anaweza mzalilisha hadi Rick Ross!!!
Ngoma unayoiona flop ndio imegonga 1mil view kama audio. Umewahi kuona audio inagonga 1mil view within a week? Ukiipata nitag
Kwa faida yako na wengine, statistic hazidanganyi
View attachment 649255
Utatukanwa kila aina ya tusi.Wiki 3 nyimbo 3 ie Sikomi,Niache na Waka na zote flop,Wakawaka bora angeiacha tu ndani ya album kwani ni bubble gum na imeshapotea!!
Diamond ifike sehemu atafute waandishi wamtungie nyimbo,nna kama lengo lake ni kuendelea kufanya kazi na wanamziki wa kimataifa basi pia akubali kufanya kazi na maproducers wakubwa wa nje ama kwa hapa Bongo afanye kazi na Hermy B wa B Hits ama Man water,Laizer uwezo wake mdogo sana ukilinganisha na ukubwa wa diamond na kwa sasa kafikia mwisho,bbeats zake ni vikopo tu!!
Utatukanwa kila aina ya tusi.
vitu vya kitoto kwako kwake vikubwa.Diamond anamashabiki wengi video yake au audio kusikilizwa na watu hata milioni 10 hakuifanyi iwe bora labda kuliko bombadia ya Dully sykes au Papa ya Gigymoney zenye views labda laki 2 au natamba ya Aslay hata ikiwa na view ndogo haiifanyi isiwe bora kuliko nyimbo za Diamond ambazo mashairi hovyo kabisa.
Jamaa hapo juu katia ushauri mzuri Diamond ameshakuwa mwanamziki mkubwa kama kwasasa anavyobadili madirector wa video pia abadili maproducer wa audio zake.Yaani anaimba vitu vya kitoto toto sana hadi aibu.
Simchukii ila tunamtaka abadilike ,sina kipaji cha kuimba ni shabiki tu