Daimond Plantnumz in the FNL soon stay tuned

Na hizi ndo dharau za kijinga kwa mashabiki zita mcost hata kama mnalipwa kumtetea mtandaoni huwezi kuwaita hivo hata yeye alitoka Tandale hakua na chochote sasa naamini alisema Mbeya hamna hoteli ya yeye kulala midomo yenu

limekuuma hili la mbeya?? khaaah! uliskia akisema au na wewe umeyaskia huku mitandaoni??? kwani unadhani waliomzomea pale leaders wana akili timamu???? kuna tatizo nikiwarecognize kwa status yao??

mbona dk. akisema huyu ndugu yenu ni kichaa mpelekeni mi
rembe hamsemi anadharau??? ofcoz waliomzomea dai ni wendawazimu wangekuwa wanajielewa wangemshangilia kiba kwa daimond wakapiga kimya akapita zake.
 
Calm down it seems umepanik umeelewa nilichoandika kweli mbona sijamtaja Kiba we umemtoa wapi kweli kawaruga kuongea pumba zake haziwezi niuma ila ndo zitakazo mpoteza huo ndo ukweli na siko hapa kumpaka mtu mafuta kwa mgongo wa chupa achaneni na kiba na kuzomewa fikirien alternative nyingine ha ha ha mwishowe mu lose battle jipangeni kabla hamjapangwa i think u got me
 
Kiba mwenda wazimu anafanya mziki miaka kumi hana hata bajaj yenye ni msindikizaji
 
Next time uwe unauliza,kuna wasanii hawaishi ki-maigizo na kujianika mitandaoni hata wakinunua boxer watatangaza,Kiba kaanza ku-push ndinga kitambo ujue na ana pa-kulaza ubavu wake kihalali acheni ushabiki maandazi.
 
Back
Top Bottom