Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,089
- 72,511
on sale in suppose
Oooo mmmhhh haya banaq
on sale in suppose
Huyo dada kavalishwa au kavaa nguo za mdogo wake,
Au mambo ya fashooooniiii
jd alivurugana na mawigu akaamia "ya mashariki"naona mzee wa mdogomgodo anaenda nae.. niceee
ipo siku mtu atavaa chupi sababu ya hayo mambo ya fashioooooon
Nuhu ametangaza kwa wana Africa mashariki anampenda Shilole!
Nuhu amechora tatuu mpya yenye sura ya shilole kwenye mkono wake!
Soon atamvalisha Pete na ana kwenda kujitambulisha kwao shilole!
Na wemepiga kiss live kudhihirisha upendo!
Hahaha
Dai wakimbizeeeeeee ukiwakamata wapige mtamaaaa...
Mtama a.k.a Ngwalaa
Halafu wang'oke meno ya mbelee....
Na midomo wachubuke ili washindwe kuzomeaaqq
Hahahaaa....
kwani elfu 70 kitu gani bwana, hope wendawazimu hawataingia.
Hhhhhhhhhhaaa haki ya siti shahidi Ludenga
Na hizi ndo dharau za kijinga kwa mashabiki zita mcost hata kama mnalipwa kumtetea mtandaoni huwezi kuwaita hivo hata yeye alitoka Tandale hakua na chochote sasa naamini alisema Mbeya hamna hoteli ya yeye kulala midomo yenu