Mashaxizo
JF-Expert Member
- Jun 13, 2013
- 6,707
- 3,360
hahaha unajitahidi nitungie nami best
Hahaaa!
Nipe hints!
Au unataka nikusifie tu!
hahaha unajitahidi nitungie nami best
Hahaaa!
Nipe hints!
Au unataka nikusifie tu!
yap nisifie tunga title
Wewe unataka kunitaftia kesi na Excel!
Kuja piemo tupange kikubwa!
...
MuExcel kila thired wazama! Usipite huku!
Khaa! WanaMMU wabishi! lol!
Jamaa anataka love quote acopy mistari akampe demu wake, basi mnambaniiiiiia!
...
Chopeko, demu wako akikubania mbunye mpe hii:
...1
Mapenzi kweli matamu, Hilo ata usibishe!
Na kama kwako ni ndimu, Wala lisikustushe!
Umempata mwalimu, Tulia nikufundishe!
Endapo utahitimu, Na cheo nikupandishe!
...2
Yako wewe ya wajibu, Mwalimu usinangushe!
Sauti ya taratibu, Mimi iniburudishe!
Tena uwe unajibu, Ili usinichokeshe.
Na uwe wangu twabibu, Wambea tuwakomeshe!
...
Source: Mashaxizo!
...
.....be continue..........