Dah wimbo wa Kanda Bongoman Muchana unanidondosha machozi hapa

Duh, Pole mleta mada na hongera kwa kuanzisha huu uzi......nimetoka kushushiwa stress na boss nikatoroka ofisini ile kutaka kuzima simu nisitafutwe nikaingia jf kwanza ndio nikakutana na hii thread, duh....moyo wangu umesuuzika na simu sizimi tena...wakipiga tutaelewana tu. Love you JF
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom