Dah!Ujumbe mwingine bhana....

Sasa hapo mjanja nani!! kama sio upuuzi tu, hawa ndio wanasumbua ndugu zao hadi kuwaacha tabani kifedha kwa visingizio vya kipuuzi mala nimelogwa, kumbe tayari, anakwenda kupima too late na ni safari moja kwa moja.
 
Maneno kama hayaa yanakufanya siku yako iendee poa sanaa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…