Dah! tuwe na HURUMA KIDOGO

Dah! tuwe na HURUMA KIDOGO

Jospina

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
2,421
Reaction score
1,395
Umeishi nyumbani kwenu kwa miaka lukuki, yaani ukiwa na miaka 32 nd'o ukaondoka nyumbani, sio kwamba ukaanza kujitegemea hapana ukaajiriwa na mjomba ukawa unaishi kwake.
Mama nyumbani akapumua kidogo umempunguzia mzigo... Maana ulikuwa unategemea kila kitu kwake

He! Baada ya miaka miwili tena sio miwili kamilikamili badala ya kuanza kumtumia mama matumizi... Mama anapo
kea ugeni, umejaza mtu mimba huko halafu unamuagiza tu aende kwa mama yako akaishi ye na mtoto....
Sio kwamba umempa pesa ya matumzi.. Hapana umempa nauli tu ya kumfikisha kwa mama yako....
Jamani eeh! Wanasema mtoto hakui kwa mama.... Ehe! We umekaa kwa mama yako miaka 30 halafu mtoto wako hata mwezi hujakaa naye....
Na sio wanaume pekee wapo wasichana wanatega wanajazwa mimba wanalundika watoto kwa mama zao.
Najua mpo wengi... Mniwie radhi iwapo thread hii itawaharibia siku.
.
@G.I.M..
 
mkuu kwa iliyemenga itakuwa imemchoma mpaka kumutima
 
Naunga mkono hoja free P sio sawa,lazima muweze kugharamia effects za kugegedana
 
The epitome of a loser.

Miaka 32 bado mtu alikuwa anaishi kwa wazazi?

Wengine tulianza kuishi wenyewe tukiwa na miaka 18 na hatujarudi nyuma!
 
Heee na huyo mama anayepokea starehe za mwanae ana matatizo pia.....

Yaani namuimagine maza wangu..... loh angenitimuaje
 
Duuh huyo miaka 30 yupo home na anamtegemea bi mkubwa, hafai hata kwa kitafunwa, atakuwa tu mpigaji FREE P hahahahaaha.

Ila inaumiza jamani, umelea hadi mtu anakuwa mbaba hivyo, unategemea kuwa soon na wewe utaanzaa kula matunda ya uzao wako afu ghafla vuuuu mkamwana na mjukuu hawa hapa, daah tuwahurumie wazazi wetu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
huyo hana mapenz na mamake aisee ndo tunawauwaga wazaz wetu hvi hvi kabla ya mda wao..anashndwa kusukuma toroli la maj akamsaidia mamake senti mbil tatu..mxxxshii p.u.m.b.u zake anajua kufungua zipi tu baada ya kula na kushba ugali wa mamake..
 
Heee na huyo mama anayepokea starehe za mwanae ana matatizo pia.....

Yaani namuimagine maza wangu..... loh angenitimuaje
Ndo familia zetu waafrica, shangazi angu anaishi na wajukuu hao
yani ukimkuta wamemzunguka kama bata na wanae
wenye watoto wapo makwao tu wanaongeza wengine
 
Umeishi nyumbani kwenu kwa miaka lukuki, yaani ukiwa na miaka 32 nd'o ukaondoka nyumbani, sio kwamba ukaanza kujitegemea hapana ukaajiriwa na mjomba ukawa unaishi kwake.
Mama nyumbani akapumua kidogo umempunguzia mzigo... Maana ulikuwa unategemea kila kitu kwake

He! Baada ya miaka miwili tena sio miwili kamilikamili badala ya kuanza kumtumia mama matumizi... Mama anapo
kea ugeni, umejaza mtu mimba huko halafu unamuagiza tu aende kwa mama yako akaishi ye na mtoto....
Sio kwamba umempa pesa ya matumzi.. Hapana umempa nauli tu ya kumfikisha kwa mama yako....
Jamani eeh! Wanasema mtoto hakui kwa mama.... Ehe! We umekaa kwa mama yako miaka 30 halafu mtoto wako hata mwezi hujakaa naye....
Na sio wanaume pekee wapo wasichana wanatega wanajazwa mimba wanalundika watoto kwa mama zao.
Najua mpo wengi... Mniwie radhi iwapo thread hii itawaharibia siku.
.
@G.I.M..

Tabia hiyo mbaya sana ya kuwabebesha mizigo wazazi ili hali walishakulea ukakua sasa unawapelekea tena wajukuu walee!Jee wao watapumzika lini kulea?na wewe na mwenza wako mtalea lini wanenu?TUACHE KUWABEBESHA MIZIGO WAZAZI WETU NI MUDA WAO WA KULA MATUNDA SASA
 
Back
Top Bottom