Dah! tuwe na HURUMA KIDOGO

Dah! tuwe na HURUMA KIDOGO

Na wapo kibaaaaaaoooo humu ndo maana hawachangii na wakichangia wanakausha kama sio wao...mxyuuuuuuu wa miaka 30
 
Tabia hiyo mbaya sana ya kuwabebesha mizigo wazazi ili hali walishakulea ukakua sasa unawapelekea tena wajukuu walee!Jee wao watapumzika lini kulea?na wewe na mwenza wako mtalea lini wanenu?TUACHE KUWABEBESHA MIZIGO WAZAZI WETU NI MUDA WAO WA KULA MATUNDA SASA
ni kweli kabisa mkuu!!
 
Kuna mmoja hawataki kabisa wanae, eti walelewe na babu.
 
Mpaka miaka 32 bado unakaa kwa mama na wewe kweli utajihesabu ni mwanaume?
 
Heee na huyo mama anayepokea starehe za mwanae ana matatizo pia.....

Yaani namuimagine maza wangu..... loh angenitimuaje

hahahaaaa hana utofauti na wangu unapokea vichambo vya hatariiiiii loooo lakin wanatufunza mengi
 
Back
Top Bottom