dikembe
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 1,645
- 1,441
- Thread starter
- #21
Ingekua ni salama kukuelezea mazingira tuliyokua tunaishi nadhani ungekubaliana na mimi, but naogopa kufunguka labda kuna mtu anaenifahamu akapata picha na kuelewa hali halisi.Sidhani Kwa Mwanaume Jasiri Na Mwenye Kujitambua! Aweza Kulala Na Mtt. Wa Kike Chumba 1 Na Kitanda 1!Coz, Ni Hatari Sanaa! Ndio Maana Mshikaji Hakuamini Kabisa Kama Haujakula Mzigo Wake!! Saa 6 Usiku Kidume Wagwaya Kutembea Kurejea Home?