Sex addict
JF-Expert Member
- Feb 21, 2023
- 902
- 1,816
Thanks wanajifanya makomando hawajui hata mimi najifanyaga hivyo ila kwenye 18 ni panya sichomoki kwenye mtego wakeIla jamani mapenzi yasikieni tu mi mwenywe nakomenti hapa ila moyo unaniuma vibaya mno. Pole ndugu
Ndo kosa lako...Acha uvivu ,changamka jaza yutong mbili alaf njoo tena na thread kama hiiMkuu sina mademu wengi kwenye maisha hata watano sifikishi
Ila jamani mapenzi yasikieni tu mi mwenywe nakomenti hapa ila moyo unaniuma vibaya mno. Pole ndugu

