tajiriboya
Member
- Oct 31, 2019
- 15
- 38
Chupi zinaanikwa mlangoni kwangu kweny kamba yangu mwenyewe ya steel nilieka kwa matumizi yangu binafsi kisa sifui sianiki sana mtu anaanika bila kuomba
.blood hell
ukanywa sabuni ya unga au?Leo nimeamka boksa imelowa kwa sababu ya usiku wa Jana chumba cha mpangaji mwenzagu wa kike alitembelewa na dume flani hivi.
Sasa night duuu uyu dem alikua anatoa miguno ile ya kusisimua na sijui alifanya makusudi maana alikua anajiliza liza kwa sauti kuuubwa hadi nikaanza kukumbuka sabuni bahati mbaya ilikuepo ya unga.
Nafasi yenu unaiuza kwa thamani ya sabuni..?Anza kuweka sabuni ya kipande special kwa ajili hiyo
inama niiweke chap
ukanywa sabuni ya unga au?