Dah! No true love

Hizi mambo zinachanganya sana. Mimi sikuwa na tabia ya kushika simu ya demu wangu kipindi niko college. Siku simu ilizama kwa maji,akanipa niipeleke kwa fundi. Mi nikaifanyia Mandingo ikawaka. Sms kadhaa zikaingia. Nikazisoma,,weeeh. Uwe na moyo wa kimafia kidogo. Nikakausha km sijaona kitu. Nilivyompa simu hakuwa na furaha hata kidogo.
 
😁😁😁 Hiyo na Mimi naitaka
 
Mimi Kuna mmoja hapa namfukuzia

Najua ana mabwana wengi Sana maana hio simu yake niliombaga niingalie jina ikapigwa lock fasta ndio nikapewa


Kikubwa Nani atainua kombe
Wewe kula mzigo tu. .. sehemu Kama hiyo usiwekeze muda wako .pesa zako Wala upendo ...then thanks me later
 
washilikishe na hao mabwana wenzio ili muumie wote.si unajua msiba wa wengi???
Wengine hawawezi kuumia waweza kukuta walikuwa wanajipigia tu hawakuwa na upendo nae ... Kwani chief haujawahi kudate na mwanamke ambaye haumpendi hata kidogo ..hii hali Mimi imeshawahi kunitokea Mara nyingi tu Tena Kuna wakati unajikuta una toka na manzi mkali kwli kweli na watu wakimuona Wana appreciate lakini wewe hata feeling nae za upendo huna ... Ila sasa inaweza kuja kutokea unanasa kwa mwanamke was kawaida tu .. sio mkali kiviiile

Sometimes huwa Naona haya mambo Kama Yana miujiza ndani yake' ..😁😁😁
 
Katika kumi mmoja imooooo, wataalamu ndivyo wanasemaga..... waiter niongezee ka energy ka kuchanganyia
 
Hukumwambia?
 
Sure maana kuna washkaj nliona kabisa dame ndo anaforce mawasiliano ila wao wako kavu tu
 
Mpeleke Tarime akashughulikiwe....wanasema nyota njema huonekana alfajiri, huyu hakufai atakusumbua tu maishani, piga teke mapemaaaa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…