Dah! Nimepewa cha mbavu

Kwaio kama hatoi namba huwa anatoa nini?
 
Unahitaji kozi maalum ya Utongozi dogo.
 
Yani kakujibu uzuri huyo,pia hawasemagi naked statement hivyo yani naomba namba zako????ulitakiwa kumchachafya mpah angetoa tena pacna kumuomba straight as u did...
 

Una miaka mingap?...hizi bale.h.e za siku hizi zinasumbua sana!kwa hiyo umejitutumua mwenyewe ili tukufundishe kutongoza hapa! Hatushauri wazin.i.f.u hapa hebu kafanye hom works ulale, kesho shule!
 
we vp ungemwambia baba yako wasira mama yako marehemu bi kidude ba mdogo pinda lazima angeingia mkenge
 
Hii mi tv na mi play station games mnayocheza siku hizi ina athiri sana socializing skills za watoto wa siku hizi! Yani mtu unajibiwa sitoi namba unaona umepewa za mbavu!!
Eh wacha kaka zenu wa 70s na 80s tuwagongee tu videm vyenu.
Smh!
 
gari huanza na gia namba 1, we umeanza na namba 3.. "usifakamie ukadhani maziwa zingine zanzi" - Roma
 
Una miaka mingap?...hizi bale.h.e za siku hizi zinasumbua sana!kwa hiyo umejitutumua mwenyewe ili tukufundishe kutongoza hapa! Hatushauri wazin.i.f.u hapa hebu kafanye hom works ulale, kesho shule!

unakosea mkuu sio ushaur huo
 
Eti mtu baada ya salamu tu anaomba namba kweli dadangu?sikujitakia huku,ongea na mtu mfanye awe comfortable

shangaaa na wewe
alimuona anatokea dukani na yeye angeenda pale akajifanya hata mteja mpe ka offer kidogo then jifanye huna haraka hata ya kutaka kujua jina lake uone kama samaki hajaingia chambo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…