Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 37,615
- 78,957
.pole mkuu...si wa uru kishumundu burudani tupu...hakuna foleni,maji mpaka mlangoni...chemichemi...hali ya hewa burudani pia!...
Pole na Karibu mjini,
Huu mji bana ili upate unafuu wa asubuhi,
Maandalizi ya kesho yafanye leo,means km ni nguo andaa usiku weka na maji ya kuoga ya akiiba maana kesho hua haitabiriki,toka hm mapema jipe lisaa lizima la kuwa njian kwano folen nayo haitabiriki,
Tuliozoea wala hatupati shida tunaona kawaida tu na maisha yanaendelea.
Sio maji tu hata usafiri ni janga la mkoa...Hujauzoea huo mji bado?
Njoo Mtwara,hatuna mgao.. Tunakula umeme wa gesi wa Mnazi Bay!
Ila maji,ni janga la kitaifa!
Sio maji tu hata usafiri ni janga la mkoa...
Magari yote yanaondoka saa 6.00a.m so kama ukipata dhalura mchana hupati usafiri na njia ni moja tu kwenda Dar hata kama unaenda Songea