nina ofisi ya stationary ambapo huwa natenganeza b-cards na id pamoja na vipeperushi ila nimekwama naomba nisaidiwe serial no.za adobe cs3 master collection,nina set up zake lkn nimekwama hapo na kazi zangu zimesimama si unajua mambo ya kujiajiri???naomba mwenye nazo anisaidie