Unalosema ni kweli kabisa. Ila hali halisi ni kuwa hata equipments zake sio best in its category performance yake ni average, Kilichofanya nifanya nitake kuteamup na nikua jamaa mwanzo alikua ana courage kubwa sana ila sijui kimemtokea nini. Na ilikufanya kazi nzuri yenye kuendana na soko, ku-hire equipments at the beginning nikitu ambacho hakiepukikiWewe hujajua tu, huyo ameona mchango wako wewe si mkubwa kama wake, kiasi wewe utakuwa kama unamu-exploit tu, mashine zake atajua mwenyewe cha kuzifanyia. Hata mimi kuna watu wa design yako huwa wananisumbua sana, mara ooh, ile gari imekaa tu sijui ilete wapi tufanye nini, wakati naona kabisa itaenda kufa au kunitia hasara ya matengenezo, si bora ikae tu..., acheni kusumbua watu bhana..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pambana na maisha yako..achana na huyo mwehu.
Huyu atakuwa anatumia madawa ya kulevya. So akipata hela ana tumia dawa na anakuwa teja. Na hapo yuko addicted ndo maana anakuwa hivyoHabari zenu wajuzi wa mambo.
Kunamwana angu mmoja nimejuana nae toka 2016 kipindi hicho tulikua nafanya nae kazi pamoja mtaani. Tukaja potezana mimi nikaendelea na ishu zingine, yeye akawa anaendeleza harakati.
Year 2020 nikarudi tena kwenye harakati nilizokua nafanya nae. Mshikaji nilimkuta yupo nje ya reli mambo hayakua mazuri kwake, nikaona i
Nimemtafuta sana amekua asomeke, mwaka sasa hakuna jambo tumelipanga akalifanya hata kwa 2% HAKUNA.Kwanza Bro una roho ya Kipekee...niseme una roho ya Kitajiri na umewaza sana mbali kuona kabisa kuwa hii hali sio ya kawaida. Jamaa ana pepo mchafu anamzibia riziki tu! Haya mambo kwa sisi wahangaikaji tunakutana nayo sana either kwa kujua ama kutojua. Msaidie kama bado una access naye! Dah! Mungu akubariki pia
Chief, I'm mature enough to know that the the guy is addicted to gambling. Those people live with cognitive distorted beliefs about luck and getting rich fast.You're too young to decipher the inevitability of nature
Upo sawa kabsa Kama ulivyosema. Ila ukweli ni kwamba nilimchagua yeye kati ya marafiki zangu wengi, kwa sababu friends wangu wengi tiyari wameshaji-establish katika Tasnia hii na they are making alot of money. Kuwacheki wao ni sawa nakuchota maji mtoni nakumwaga baharini. It won't make any change.Inawezekana anakukaushia tu kwakua unampa dili za kiwaki au kagundua wewe ni opportunist unamfata fata kwasababu umeona hzo equipment au na yeye anakuona ww ndo umelogwa alaf na ww unamuona yeye ndo chenga
Wewe huku unamtafutia dawa na yeye huko anakutafutia dawa
Da' Vinci ungegusia kwa urefu zaidi namna ya Ku break hizo spells naamini ni changamoto wengi wanapitia na kushia kwa witchdoctors ambao sio msaada kwao.. huenda ikawa msaada kuwatoa kwenye vifungo.Inasikitisha sana kwakweli, ila nimefurahishwa na jinsi unavyojitahidi kumpambania kijana mwenzio. That's so manly and impressive. Vijana tunatakiwa kuwa hivi.
Inaonyesha una nia ya dhati kabisa kumsaidia rafikiyo ila kwa mujibu wa maelekezo yako ni wazi kabisa huyo ndugu tayari kashaanguka kwenye Negative/Dark Realm ukute ni mtoto wa kwanza kwao au kuna possibilities ya potential za ndugu zake wakubwa kazibeba yeye ndio maana anaandamwa namna hiyo.
Mimi ningeshauri kua umchukue huyo mtu ukae nae au muishi sehemu moja kisha fanya utaratibu wa kumkomboa na kumrudisha katika msitari. Tafadhali usiwasikilize watakao kushauri uwende kwa fulani sijui akusaidie. Usithubutu kuondoa giza kwa kutumia giza lenyewe washa taaa!!!
inawezekana eeh?Mbali na kulogwa:
Je haiwezi kuwa labda mwamba hajisikii kupiga mbishe na wewe na anakuigizia tu maisha?