asante mkuu. sasa tutakua tunapost wapi thread? au tutakua tunacomment facebook? hii hali tutaipatia ufumbuzi tu.
nitakumiss sana.....
Tafsri kuu ndiyo hiyo,ulitakaje wewe?
Nimeona tangazo lao hapo juu,lakini uzoefu unaonesha kuwa walio wengi huwa hawasomi matangazo hayo labda kupitia njia hii.
tangazo lenyewe ni hili hapa
TAARIFA MUHIMU: Kuanzia Mei 12 hadi Mei 15 tutakuwa na marekebisho makubwa kwenye tovuti hii. Endapo hutotupata, fuatilia yanayojiri kupitia FikraPevu au JamiiForums on Facebook
Mods mkiona nimekosea basi ondoa hii thread
Kweli wewe mbishiHivi wewe ndio Invisible? Wapo wameandika JF inafungwa kupisha matengenezo?
jf siku hizi imekua kama tanesco on/off
We acha kuwa mbishi au pengine ulewa wako ni mdogo! nini maan ya "unaweza kuwapata" watakuwa wapi?
mi nilivyoiona tu huyo msg nikapata homa, na hivi tarehe 12 sio mbali......nitaborekaje
Kumbukeni na Kuchangia JF, mkono mtupu haulambwi!