raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,547
- 35,816
Ligi epl mechi 38
Ligi uefa mechi 70 ebhanaeeee ni kazazaaa kazezeeee
Ligi uefa mechi 70 ebhanaeeee ni kazazaaa kazezeeee
Nakazia 😊😊😊Kazi iendeleee ,,,,eeeeh Chelsea na umfunge arsenal Leo tupande pale namba tatu🤸
Anawasema Yanga🤣Niliwaambia watu juzi hapa, kwa hiyo hadi Guardiola anaihujumu Man City?
Vikosi vimechoka, tutaendelea kushuhudia vipigo hadi tuingie dirisha dogo la usajili.