Dah, mambo mengine yasikie tu usije yashuhudia!

Dah, mambo mengine yasikie tu usije yashuhudia!

tusimamieni imani tu kuna dada yangu alikuwa na tatizo hili walitaka kumpeleka kwa mashehe nikawaambia huyo wala msihofu aende kanisani maombi tu ndio yatamponya mpaka ninavyosema alishapona kabisa

Nashukuru sana kwa kushare experience yako! Situation huwa ni ngumu sana mtu unapokuwa hujaexperience then tukio kama hilo linatokea ukiwepo!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
UKWELI: YESU ni zaidi ya YOTE!!..... UONGO:: Nani ka kwambia majini eti yana "KUFA"?! shetani ni baba wa UONGO!!
 
UKWELI: YESU ni zaidi ya YOTE!!..... UONGO:: Nani ka kwambia majini eti yana "KUFA"?! shetani ni baba wa UONGO!!

Mheshimiwa Stamina, kusema kwamba yamekufa ni menyewe kupitia mdomo wa binti aliyekuwa yamemwingia! So, ukweli ndio huo ndugu!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
hayo mambo yapo ukitaka kujiridhisha kama yapo angalia emmanuel tv ya pastor joshua uone mapepo yanavyotesa watu
 
Hayatuhusu. Umbeya tu. Anzisha mada yenye mantiki. Kwa mawazo yako, unaona hii ni mada kweli?
 
Hayatuhusu. Umbeya tu. Anzisha mada yenye mantiki. Kwa mawazo yako, unaona hii ni mada kweli?

Siku ukiyakwaa Mwanamalundi utajua Kuwa yanakuhusu omba uyasikie tu, Mr. Perfect wa JF!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Ahsante muuza ubuyu,kwanza tambua kuwa majini au mapepo ni viumbe vilivyoasi toka kwa mungu kwa mujibu wa biblia.
Katika quran wao wanavifungu vinavyosema kuwa majini waliumbwa na MUNGU ili wamwabudu.Sasa kuanzia hapo tu,mchanganyiko wa kukubaliana kwa hoja yako kwa wanajamvi,ukizingatia wanajamvi ni toka imani za dini tofauti.
Pia ktk imani ya dini fulani unaweza kufuga jini na kulitumia ktk shughuli za kibiashara,ulinzi,mvuto na hata kumuua au kudhuru adui yako.Lakini imani ya ukristo ni unajisi kuwa na jini/pepo.Ndio maana hata yesu hakukubaliana na mtu kuishi na pepo hata kama lilimletea faida mhusika.
Vipo vifungu kama mwanzo.6:1-8,ila hasa mstari ule wa 4 vinaonyesha zama za gharika baadhi ya malaika waliasi na kujigeuza miili na kuoa wana wa wanadamu na kuzaa majitu(manefili) ambao walikuwa wakorofi na kufanya uovu mwingi.Lakini kipindi cha gharika waliangamizwa na lakini baadhi walivua miili yao na kurudi mbinguni Ila mtume YUDA ktk agano jipya zama zetu sasa alifunuliwa na kuandika katika yuda:1:6-7.Kuwa wale malaika waliovua miili yao na kurudi mbinguni hivi sasa wamefungwa ktk minyororo wakisubiri hukumu ktk siku ile kuu ya mwisho wa dunia(kiama).Kwa hiyo habari za mtu/watu fulani kuishi na majini na hadi kuzaa nao si mpya ni mrejezo wa matukio yale yale ya zama zile.
 
::
Kongosho
Bado hujaniunga mkono tu juu ya kuwa na JUKWAA LA MAISHA,MIKASA NA USHAURI
watu wana matatizo tena mazito kuliko hata mapenzi.
::
Muuza ubuyu
inawezekana pia huyo mliemuombea alishaingia MAAGANO/NADHIRI na majini.Haya mambo yapo na yanatuathiri.
Upande wa Mungu ndio salama.
=
 
Last edited by a moderator:
Muuza ubuyu: sijasema wewe muongo bali shetani ni baba wa uongo! hayo mapepo ni MAONGO!! Kiagata, hao wanao yafuga!! dah
 
::
Kongosho
Bado hujaniunga mkono tu juu ya kuwa na JUKWAA LA MAISHA,MIKASA NA USHAURI
watu wana matatizo tena mazito kuliko hata mapenzi.
::
Muuza ubuyu
inawezekana pia huyo mliemuombea alishaingia MAAGANO/NADHIRI na majini.Haya mambo yapo na yanatuathiri.
Upande wa Mungu ndio salama.
=

Hicho Kitu cha kuingia maagano na majini/mapepo ni kweli ndio maana hata mchungaji katikati na baada ya maombi aliishauri iwapo kama muhanga ama familia yake wanaabudu ama wanatumia nguvu za giza katika hali yoyote ile lazima waachane nayo Mara moja kuanzia siku hiyo la sivyo zoezi lililofanyikwa litakuwa sawa sawa na zero!
Pamoja mkuu Tetra na ninakuunga mkono katika hoja yako ya Kuwa na jukwaa tajwa hapo juu kwenye hoja yako niliyoi quote!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Zawadi ya Mungu kwa wanadamu ni Yesu Kristo.
 
Back
Top Bottom