Dah Makongoro hakopeshi!

Asante Mungu,...umemleta Lowassa ktk wakati Muafaka kabisa..kutukomboa ktk dhiki na taabu za hivi sasa...ili watanzania wapate kuona nchi yao ilivyo tajiri na mali zote plus utajiri mkubwaaa wa gas...ziwafaidishe watanzania wote..!!

Rais wetu shupavu anakuja, Lowassa...!!! Allaah akbar...!!!
 
Mkuu wangu unajua wakati mwingine nashindwa kuelewa waTanzania tuna laana ya nani.Suala la kashfa ya RICHMOND lipo wazi kabisa nashangaa wanajitokeza wajinga wajinga wachahche wanataka kulifukia kisa wanampenda Ndosy kama wanampenda wakanywe naye chai.

 
Kweli Kabisa Sioni Media Zetu Zikimtangaza Kila Siku Lowasa, Membe, Ngeleja, Nyalandu N.K Lakini Mako Wala
 
Reactions: DSN
Kwa watia nia kwa tiketi ya chama cha mapinduzi nimefanikiwa kuona coverage za wachache na tathmini yangu ni hii.
1. Kuna watia nia wanazuga tu na wala si presidential material ila wanataka kujitengenezea jina kwa ajili ya kutetea nafasi zao za Ubunge ambazo ziko hatarini. Kufanya hivyo wataonekana mbele za jamii kuwa wana uwezo mkubwa kwani walithubutu kugombea uraisi so kudhoofisha wapinzani wao.
2. Kuna walioingia kwenye mtinange ili kudhoofisha nguvu ya wenzao wanaotoka kanda moja ili wakichujwa wahamishie nguvu zao kwa wale wanaowasapoti.
3. Kuna wale wanaotumika kuchafua wengine ili kutoa nafasi ya mtu wanayemsapoti.
4. Kuna wagombea wawili yaonekana wana nguvu japo mmoja ana nguvu zaidi. Ila huyu mmoja mwenye nguvu kidogo yaonekana sio makini sana kwani amekuwa hajiamini na misimamo yake hubadilika kulingana na mkoa anapopita kuomba wadhamini. Akifika kwenye mkoa ambao una mgombea anasema atamsapoti yule mgombea kama yeye akishindwa. Ameshatoa kauli mbili za kusapoti watu wawili tofauti.
5. Kuna wagombea wengine wamechukua fomu baada ya kusikia maoni ya wananchi juu yao kwamba ni watu wenye maadili na wasio na makundi. Hawa wako kama wawili na hawana mipango sana na uraisi ila ikitokea zali wao wako poa tu kujitwika mzigo huo.
6. Kuna wengine wameingia ili kuleta usawa haswa wa kijinsia. Hawa wanajua kwamba hawatapata nafasi ila kutokana na kujitokeza kwao watafikiriwa katika nafasi za juu katika kuongoza serikali ya Tanzania.

Wadau kwa mtazamo wangu. Hapo kwenye namba 4 ndipo kwenye mtifuano japo namba tano hawavumi lakini wapo.
Nasubiria kuona kipi kitatokea vikao vya CC, NEC na mkutano mkuu vitaamua nini?
Pia nasubiri kuona upande wa pili (Mageuzi) watatuletea wananchi mtu gani ili liwe pambano kali lenye mvuto na maslahi ya Taifa letu. Je wadau mngependa mshindi apatikane kwa TKO au anonymous decision?(Mnakumbuka Mayweather Vs Paciao)
 
Reactions: DSN
kweli mmevurugwa, yaani badala ya yeye kutuambia akiingia ikulu atatufanyia nini na kwanjia gani. nyie mnamuona wamaana kukaa akitaja majina ya watu....hovyo kabisa

Mkuu wewe ndo umevurugwa kumbe, inaonekana hujui kama ilani ya uchaguzi haijatoka na hujui kama ilani ya uchaguzi ndo kila kitu kuhusu nini atawafanyia watanzania
 
Reactions: DSN
Mkuu wewe ndo umevurugwa kumbe, inaonekana hujui kama ilani ya uchaguzi haijatoka na hujui kama ilani ya uchaguzi ndo kila kitu kuhusu nini atawafanyia watanzania

Mkuu mito chonde msitoane macho wakati wote ni magamba kwani bado tunawahitaji mshuhudie jinsi ccm inavyo katika vipande vipande kabla ya uchaguzi
 

Mwenyezi Mungu, tuondolee shetani na vibaraka wake katika Tanzania yetu.
 

We nahisi hujamfuatilia vizuri Makongoro, take your time kumfuatilia mkuu ndo utaamini tunachoongea hapa
 
Hahahahaa huyu nilishasema kuwa hana presidential cachet.

Ni loose cannon flani hivi...

Nitashangaa sana kama CCM wakimteua.
Uwa nakutoleaga ka respect fulani hiv lakini kwa hili Dont Judge The Book By Its Cover...usimwandestimate Makongoro Nyerere...tena uwezo wako wa kufikilia na kuchanganua mambo kama Makongoro Nyerere anamilki 90% bro you have 40%.

Ni vyema ukachukua nafsi ya kumsoma mtu very keen kisha ukaja na ufafanuzi wa maana.the dude has brain sio utani...
 
Makongoro is the 5th Tanzanian President, full stop.
 

Angekuwa na uwezo huo angekaa maisha yake yote nyumbani hata kazi hakuwahi kupewa hata ya kupendelewa..Makongoro ni kopo la chooni na baba yake alilijua hilo ndio maana maisha yake yote kakaa nyumbani kumwagilia bustani na kunywa gongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…