Dah Kumbe Bruce Lee nae alikuwa anavuta bangi

Dah Kumbe Bruce Lee nae alikuwa anavuta bangi

Ee bwana wanaJF wenzangu mzuka!

Leo nimekutana na hii makitu mtandaoni Bruce alikuwa mvutaji bangi mzuri sana. Yani hii kitu imenipa faraja Kumbe huko mbele ya haki tuna hazina ya kutosha tu ukimuondoa Bobu.Natamani nionane nao hawa mashujaa siku za usoni tuendeleze hizi harakati hata baada ya haya maisha.

R.I.P Bruce Bobu and other fallen comrades in this field.

Legalize it!

Nikiwa Mmoja Wa WAFUASI WALIOTUKUKA Wa Hayati Bruce Lee Naomba Upesi Na Haraka Sana UTUOMBE Radhi / Msamaha Mkuu. Acha Pia Upotoshaji Bruce Lee Hakuwa Mvutaji Bangi Labda Huyo Bruce Lee Wako Ni Wa LONGIDO Na TARIME.
 
Bro niko radhi kutembea huku nakula kitimoto Raqqah Syria kuliko kuacha bangi

1451036098648.jpg
 
Merry Xmass
 

Attachments

  • 1451036081627.jpg
    1451036081627.jpg
    24.3 KB · Views: 152
Misingi imara na madhubuti ya kila taifa inabid ijengwe kwa weledi na discipline na umakini wa hali ya juu na ndipo hapo uvutaji wa hii kitu inabid uruhusiwe bila vizingiti vyovyote hili mustakabali wa taifa letu uendelee na vizaz vijavyo waweze kufurahia matunda ya babu zao ambao walifaiti kuweka nchi katika mstari thabiti.

Legalize it
 
Nikiwa Mmoja Wa WAFUASI WALIOTUKUKA Wa Hayati Bruce Lee Naomba Upesi Na Haraka Sana UTUOMBE Radhi / Msamaha Mkuu. Acha Pia Upotoshaji Bruce Lee Hakuwa Mvutaji Bangi Labda Huyo Bruce Lee Wako Ni Wa LONGIDO Na TARIME.
Basi humjui Bruce Lee wewe. Baada ya kundua hiLi la uvutaji bangi wa Bruce usiku kucha huu mkesha nimegoogle nakusoma kila kitu kumuhusu. Hata mchepuko wake Betty Ting Pei ambaye inasadikika ndiye aliyemuua kwa kumpa sumu alikiri Bruce alivuta bangi usiku huo kabla hapoteza faham Na hatimaye kufariki
 
Ee bwana wanaJF wenzangu mzuka!

Leo nimekutana na hii makitu mtandaoni Bruce alikuwa mvutaji bangi mzuri sana. Yani hii kitu imenipa faraja Kumbe huko mbele ya haki tuna hazina ya kutosha tu ukimuondoa Bobu.Natamani nionane nao hawa mashujaa siku za usoni tuendeleze hizi harakati hata baada ya haya maisha.

R.I.P Bruce Bobu and other fallen comrades in this field.

Legalize it!

Mmea uliobarikiwa kuliko mimea yote duniani...mmea huu una sifaa kuu kadhaa

1.Kinga

2.Tiba

3.inaongeza akili na maarifa

4.Huongeza nguvu mwilini

5.huleta apetite ya kupiga msosi

6.watumiaji wengi ni watu wanaopenda amani na utulivu

7.inaongeza ujasiri

8chanzo cha kipato

9.inaburudisha

10.Inaleta ushirikiano,urafiki na ukaribu kwa watumiaji (hudumisha undugu).

---------legalize it----------
 
Nikiwa Mmoja Wa WAFUASI WALIOTUKUKA Wa Hayati Bruce Lee Naomba Upesi Na Haraka Sana UTUOMBE Radhi / Msamaha Mkuu. Acha Pia Upotoshaji Bruce Lee Hakuwa Mvutaji Bangi Labda Huyo Bruce Lee Wako Ni Wa LONGIDO Na TARIME.
Bruce Lee alikuwa a Mandarin superstar. Mandarin Ni kichina ila yeye Hakuwa anakiongea vizuri. Yeye alikuwa anakifaham kikantonese lugha flan ya kichina inayozungumzwa sana hongkong.
 
Nasikia takwimu zinaonyesha viongozi wengi wa dunia wakubwa wa miaka hiyo na ya sasa,wengi walivuta bangi.
 
Bruce Lee alikuwa a Mandarin superstar. Mandarin Ni kichina ila yeye Hakuwa anakiongea vizuri. Yeye alikuwa anakifaham kikantonese lugha flan ya kichina inayozungumzwa sana hongkong.

Kwa Maelezo Yako Haya Uvutaji Bangi / Bange Wake Upo Wapi? Kuamkia Viporo Vya Makande Na Kunywa Gongo Za Mapapai Yaliyooza Ni Shida Mno.
 
Niliwahi kushuhudia maandamano mjini Copenhagen wakitaka bangi ihalalishwe....that was 2009 sijui kama walifanikiwa...
 
Last edited by a moderator:
Nasikia takwimu zinaonyesha viongozi wengi wa dunia wakubwa wa miaka hiyo na ya sasa,wengi walivuta bangi.
Obama mwenyewe kakili adhalani kwamba aliwahi kupiga puff,Bill Clinton alisema alijuribu alipo kuwa masomoni Uingereza! Waingereza wengi matajiri,wabunge,wapiga misiki na wanamichezo mashuhuri wote wamejaribu au wanatumia bangi/madawa - sijui bangi hizi na madawa ya kulevya yana MVUTO gani wa ajabu??

Mchanganyiko wa super aspirin na Bangi ndio kulimuua Bruce Lee, ubongo wake ulivimba baada ya Girlfried wake kumpatia dawa ya kutuliza maumivu - alipolala kitandani hakuhamuka tena!!
 
Niliwahi kushuhudia maandamano mjini Copenhagen wakitaka bangi ihalalishwe....that was 2009 sijui kama walifanikiwa...
Mkuu hawa ngesewa walikataa kuihalalisha badala yake wanahalalisha mahusiano ya jinsia moja ushoga. Ila wagumu bado tunaipiga tu na boksi tunabeba masaa 14+ kwasiku ispokuwa j2 na sikukuu kama Leo.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hawa ngesewa walikataa kuihalalisha badala yake wanahalalisha mahusiano ya jinsia moja ushoga. Ila wagumu bado tunaipiga tu na boksi tunabeba masaa 14+ kwasiku ispokuwa j2 na sikukuu kama Leo.

Sikujua kama walikataa pamoja na kutumia trekta kwenye maandamano yao😱😡ungeniambia uko free ningekutembelea leo
 
Back
Top Bottom