Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,643
- 44,389
Unamtekenya kikubwa mkuuTatizo nikamtekenya af kumbe haelewi mishe cjuh atanichukuliaje
Unamshika nyonyo kidogo
Unamtekenya kikubwa mkuuTatizo nikamtekenya af kumbe haelewi mishe cjuh atanichukuliaje
[emoji57] [emoji57] [emoji57] wewe ushamaliza binamu zako wote...kuwala[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji85]Umewahi kutongozwa na ndugu?!
Kweli binamu hatongozwi
[emoji23][emoji23]
nyooo.....[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]Unamtekenya kikubwa mkuu
Unamshika nyonyo kidogo
Kwa binam unampa tu bila tabu yoyote[emoji15] [emoji15] [emoji57] [emoji57] [emoji57] kwenda hukoo...!!
binamu zangu nao makaka pia
[emoji57]waone loooKwa binam unampa tu bila tabu yoyote
Umekumbuka mbaaalinyooo.....[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
Bora unipe mimi bana achana na binam zako[emoji57]waone looo
kukumbuka nn...?!![emoji23]Bora unipe mimi bana achana na binam zako
Umekumbuka mbaaali
Binamu yangu mmoja alikuwa ananiletea kbs...moyo unaniuma sana Nkamuuliza bro wangu akaniambia mle tu acha uboyahapana tunaheshimian sana na ndugu zangu
[emoji57] [emoji57] [emoji57] wewe ushamaliza binamu zako wote...kuwala[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji85]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ukala...!!!daahhh!Binamu yangu mmoja alikuwa ananiletea kbs...moyo unaniuma sana Nkamuuliza bro wangu akaniambia mle tu acha uboya
Binamu yako kukushika nyonyo[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji57] [emoji57] [emoji57] lioneee[emoji13]
kukumbuka nn...?!![emoji23]
Kama ww[emoji23] [emoji23] [emoji23] ukala...!!!daahhh!
uko vzr kakaa
Sasa atamuachaje? bnam nyama ya hamu hahahaha.....[emoji23] [emoji23] [emoji23] ukala...!!!daahhh!
uko vzr kakaa
Mmmmhh aibuuuuuDah..juzi kati hapa dem wangu alisafiri kwa ishu zake binafsi za kifamilia...kwa bahati mbaya akasahau simu yake mojawapo iliyoisha chaji...akaniomba niichaji na nidivert simu zote kwenye namba yake nyingine.... Na text messages nizisome kama muhimu nimforwadie....kwa shingo upande nikakubali..
Wakati nimeiwasha ninataka kuanza kudivert ikaiingia text ya WhatsApp....hi baby...nilishtuka...kuangalia zaidi nikaona kuna meseji nyingine ya jana yake kutoka namba ileile ...."usijali tutapanga vizuri tukikutana kule"....nikahisi damu imenipanda kichwani....mara text nyingine ikaiingia..."baby mbona kimya?".....nikajibu "Hi" kilichofuata ni mafuriko ya messages za mapenzi kutoka kwenye ile namba hadi nikachoka...mwisho akauliza kama nimekwisha safiri...nikamwambia bado hadi kesho...akaniomba sana tukutane siku ileile...nikamkubalia...nikachagua sehemu isiyo na watu wengi ili niweze kumtambua...mgahawa mmoja katikati ya mji.
Dhumuni kubwa la kwenda lilikuwa nikakione hicho kidume ambacho kinadoea kuku wangu...mimi nimehangaika kumkimbiza kuku wangu kwa jasho....nikamchinja...nikamkaanga vizuri hadi akavutia kumla... yeye aje mezani amle kiulaini tu...NO...
Nikajibadilisha kwa mavazi ili kama ni mtu anayenijua asije akanikimbia bila kumuona....nikajisogeza mgahawani...kulikuwa na wateja wanne tu....raia wa kigeni watatu na dada mmoja aliyenipa mgongo...nikaagiza chai...nikamtumia text uko wapi akanijibu amefika ananisubiri....nikashangaa....nikampigia akakata simu..akanitext "text only" nikajiona mjinga...nikaamua kusepa..nikampigia tena akanikata..nikamuona yule dadaaliyenipa mgongo yuko busy na simu...sijui chale gani zikanicheza nikapiga tena nikamuona anavyohangaika kukata simu...nikamtambua kumbe ni yeye nilikuwa nawasiliana naye muda wote...nikachanganyikiwa kabisa huku nikiwaza kumbe dem wangu ni Lesbian...nikaenda mezani kwake huku nampigia nilipofika nikamnong'oneza pokea simu...alishtuka macho yakamtoka kama kakutana na zimwi hadi mteja mmoja akatuuliza kama tuko poa...nikajibu tuko poa tu....nikavuta kiti nikakaa...
Bado akaendelea kunitolea macho huku machozi yakimlenga....nikamwambia simu siyo yangu ila mwenye simu kanipa mamlaka ya kupokea ujumbe wowote muhimu na kumpelekea alipo..akaniuliza haraka sana kama ni mwanamke wangu..nikajibu kwa kifupi yap....akavuta pumzi ndefu sana...
Ndiyo akanieleza ile simu ni ya bf wake na amesafiri kwenda kule alipo dem wangu...Na alishtuka sana alipoona nimeibuka mwanaume akajua bf wake ni gay..kwani aliona calls nyingi na messages ambazo hakuzielewa ndiyo maana akaamua kufanya uchunguzi..ghafla hasira zangu za kudoewa kuku wangu zikaanza kurudi na roho ya kulipiza kisasi ikaanza kuvimba....kumuangalia yule dada nikaona analipa sana...pale nikaona hapafai tukahamia sehemu nyingine....
Njia nzima alikuwa akilalamika...mengine hata sikusikia... nilikuwa Nawaza kulipa kisasi....Hata sikujua imetokeaje ghafla nikavaa viatu na kuanza kwata la kimyakimya same day...na lilikuwa kwata lililojaa hasira na kisasi...
Kesho yake jioni nikaenda kumpokea dem wangu...alikuwa na kaka yake mmoja namfahamu...kaka yake tumbo moja...na alikuwa na mawazo sana...hakuna aliyeongea njiani..nikaamua tupite sehemu tupate chakula...wakati tunakula simu ya shem wangu ikaita..akasema anapiga tena....dem wangu akamwambia ongea nae endelea kumuelewesha..yule shem akasogea pembeni akaanza kuongea na simu...dah..akili yangu ikaanza kunusa kitu....nikasogea pembeni nikampigia simu yule dada wa kwata nikamuuliza kama fulani ndiyo BF wake..Dah.jibu nililopata ikanibidi naondoke bila kuaga[emoji85] [emoji13] [emoji13]
Inawahusu WENYE UELEWA tuhata sijaelewa
We mdogo wangu mbona una visa! kweli unataka kunikalia uchi mie kaka ako?siku nitamjaribu kaka angu mmoja hivi kumkalia uchi nione [emoji28]
Muulize Yemi AladeMkimuona Falu Johny mnishitue