Pritty wa joseph
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 2,379
- 2,051
Aisee that is too bad. Pole sana.
kwani bado unampenda, BTW nothing impossible my dear
Ts hurts kwa kwel pole sana...but i find u bold enough kuendelea kufanya kilichokupeleka mi nisingeweza.
Huyo ex wako hajakua akili.
Msamehe bure tu
Kwa kumkomesha kwenye harusi mwanzo mwisho wapigie ccm ni ile ile
Anyway
Jitoe waambie hutoweza kufanya hiyo kazi watafute mtu mwengine
Ningekuwa mimi ndio wewe ningeongea na dj wimbo wa Toni Braxton He wasn't man enough utawale shughuli yote....
Huku nikiuimba vipande vipande kwa mbwembwe,mbona wangekoma?
Mkuu nilifanya, it was last week jumamosi kuamkia jumapili
Sikuwa najinsi
Story nzuri ila ingenoga Kiswahili...English majanga!!!
Pole sana!
Pritty wa joseph
sijakuelewa kabisa ndugu au ndo majibu ya TWAWEZA yamekuvuruga
nb: tunza kichinjio chako mpak 25 october na usifanye makosa