Mkulima m1 mchamungu alikuwa anatoka shambani ghafla akakutana na simba kwavile gakuweza kukimbia alipiga magoti akafumba macho kumuomba msaada mungu simba asimle ile anafumbua macho anamuona simba nae kapiga magoti kwa mshangao mkulima akasema aah! Jaman kumbe na ww ni mkristo? Simba akajibu nyamaza huko!kwani kwenu hamsali kabla ya kula? Mkulima chiniiii!!