Dah! hawa COET-UDSM, wamezidi sasa


Kijana soma ...ukiona masomo yanakushinda basi ujue IQ yako ndo ishakua ndogo....
CC Prof Mwinyiwiwa
 
Mkuu mwambie dogo uhandisi sio lele mama someni sio complain tu!siku hizi nasikia mnacarry nafuu ukubwa!enzi hizo foe ngoma tatu hamna mjadara!alikuwepo segu,ishengoma,mayo,owen na rubaratuka na mmoja wa mchoro. Yaani utatokea wapi!siku hizi poa sana
uyo rubaratuka ndo kiboko haiseee
 
COET kuna ma lecturer wakuda sana yani ndo wanaofanya elimu kuwa ngumu
 
someni shule punguzeni starehe na mibangi

vijana wa leo unakuta akipata boom anahamia kwa pombe na ngono

boom likikata ndo anaanza kusoma huku hana hata uhakika wa lunch!!

ukidisco ulalamike!!

PURITENDAAAAAAA WAKUBWA(I MASANJA'S VOICE)
 
Sijaona ugumu wake hiyo ni defence mechanism kama mmnangalia porno huku mkijisifia mnasomea computa mtaipata tuu. Put your books forward and sing in second. Mtuache sisi mangini turelax then tuje kuwatawala tuwapangie kila kitu. Tz naona mainginia wa kutoka china tuu
 

If you was born to be an engineer,you will be .kumbuka hapo coet hujaanza kusoma wewe mkuu watu wamesoma na wameclear au na wewe unataka GPA ya 1.

Pia kumbuka mkuu kuwa vijana wa siku hizi mna uwezo mdogo sana alafu starehe nyingi ndo maana majanga kama hayo yanawakuta
 
ishu ni kukomaa siyo kulalamika ovyo kama mtt wa kike,km vp nenda vyuo ambazo wanakula bata na gpa kali afu kichwani una madudu,ukja mtaani tunakuaibisha vibaya,i love udsm ever.
 

Mkuu unasoma bachelor of economics au engineering? au ulidisco coet?
 

mkuu unasoma nn udsm?
 

vichwa UDSM vipo COICT tukiongea ule ukweli COET kuna watu wa kawaida sana siku hizi... labda PETROLEUM ENG. itarudisha heshima ya COET ambayo imenyakuliwa na vijana machachali wa TE na CEIT
 

Mkkuu Maganga nimekusoma vyema,
ukwel n kwamba cut-off point za watu wa power n ndogo ndomana wanadiasco kwa wing sec year
Ila ulichokosea ni kusema course mama ni Electr. Gener.hapo labda kwa ukongwe ila in-terms of courses power ndo nouma
kwa ufup Power ndo umeme wenyewe nyie General hamna side mpo mpo kotekote EPE, TE &,CIT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…