Dah, Hapo Ndio Tayari Ameshaji-Make Up Aisee.

Ia bado sjaelewa...Kwani hicho ni kitu Gani?
 
wakati mwingine ni bora angabaki bila kujiremba

Ni kweli kabisa mkuu nimejiuliza hivi akiwa hajajiremba anakuaje...?. Hahah.
 
Uuwiii. Na hapo kama ana Mpenzi utakuta alimwambia umependeza lol.

Halafu siku za karibuni hasa Uswahilini pasi hayo Makorokocho yasiyo na kipimo hawaoni kama Singeli la kwenye shughuli linaweza chezeka.
 
Uuwiii. Na hapo kama ana Mpenzi utakuta alimwambia umependeza lol.

Hahahah.

Hiyo yote ni nguvu ya penzi my dear. Wala sio yeye ameamua kusifia ni HISIA ZA NDANI kabisa mwaya.

That's Love.

Halafu siku za karibuni hasa Uswahilini pasi hayo Makorokocho yasiyo na kipimo hawaoni kama Singeli la kwenye shughuli linaweza chezeka.

Mie huwa nikiangalia uso natazama na viganja then miguu unakuta havina na havitoi ushirikiano kabisa aisee. Utakuta sura ni ya njanooooo then mguu mweusi.

Hahah. Loh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…